Nawewe upo kwenye category gani kati ya wavulana na mapunga....mana naona kwenye wanaume haupo......kama ni ke utanisamehe................Nijuavyo jinsi ya ME ni sawa tu na KE ila sasa kuna tatizo hapa hao ME wako ktk category tatu. Ie wanaume, wavulana na mapunga so tusidanganyane nature ndio iko ivo (ratio ni 1:1).
Kawaida mwanamke anapokuwa kwenye umri Fulani hasa kuanzia miaka 18-26 atawaona wanaume ni wengi sana na pengine utakuwa na uthubutu hata wa kupingana na takwimu za kidunia kuwa wanaume ni wachache.
Lakini subiri ufikishe miaka 30+ hapo kweli ndio utaamini wanaume ni wachache sana kulinganisha na wanawake.
Kazi ya mwanaume nikumpanda mwanamke nakumzalisha watoto kwakadri awezavyo.kwaiyo mabadiliko ya zama na shughuli za dunia hazijafuta ilo jukumu.kwaiyo usitumie hisia kuikosoa nature maana hutakaa huweze.unachotakiwa kukilinda ni watoto chini ya 18 ayo ya wanawake watu wazima utakesha.