Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,783
- 99,397
Nimegundua wewe niwa wapi....Umepangilia vibaya picha zako ya mwisho ndio ilitakiwa iwe ya kwanza na ya kwanza iwe ya mwisho


Nimegundua wewe niwa wapi....Umepangilia vibaya picha zako ya mwisho ndio ilitakiwa iwe ya kwanza na ya kwanza iwe ya mwisho
Wa Daslam again.....Wanaume wa dar wangepiga selfie warushe fb badala ya kuokoa maisha ya mtoto
Kuna wadada wa humu, Jana walisema kwamba wanatamani kuonja mashini za ivoHuyo jamaa ana hata aibu, ajatairiwa alafu anaonyesha mashine yake
Wanaume wa Daslam, walimshindwa mwanaume mmoja tu wa kolomijeDar kuna wanaume watatu tu Magufuli, Gwajima na Makonda wengine wote porojo
Akikujibu naomba uniite.Mashine umeiona wapi mkuu
Wanaume wa darisalama
![]()
![]()
GENTAMYCINE alimaliza kabisa aiseeeee.....GENTAMYCINE Kajisemea kazi ya wanaume wa Dar siku hizi ni kuchemsha na kuoga maji ya moto.
Hiyo picha ya juu kabisa mbona kama ni nyama ya kondoo,,,Mamba alimkamata mtoto na kummeza , jamaa wakaamua kumsaka mamba na kumfanya hiviView attachment 507242View attachment 507243View attachment 507244View attachment 507245
Mwanaume wa dar utayajulia wapiTangu nimfahamu mamba sijawahi sikia kwamba ameua na kumeza windo lake moja kwa moja! huyo mamba wako nina mashaka naye..pengine sio mamba ninayemjua mimi hah hah
Kwani umeona nini?mbona hawajavaa chupi ?
upande wa kikalio angegeuka tuoneKwani umeona nini?
hah hah mkuu screpa, mamba sio kama nyoka aisee, anapowinda hamezi moja kwa moja, tafuta popote uje na mrejesho hapa...mi nipo mwaloni miaka na miaka sijawahi ona hiyo kitu!Mwanaume wa dar utayajulia wapi