Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,469
- 12,907
Yaani kabisa mnakaa na kungojea nyama za misaada?
Na mnagombana kupanga foleni na akina mama na mnasukumana nao kwenye foleni ya kungojea nyama za misaada?
Hapana bhana, ndio wanaume tuna majukumu ila haiwezekaniki kwa sisi kwenda kupanga foleni,kugombania nyama za misaada na akina mama.
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha haya sasa leo mnagombania nyama za bure. Kesho si mnaweza hata kuwauza wake zenu au watoto wenu kwa ajili ya nyama za misaada?
Wanaume wa kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure.
Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?
Inakuaje nyama za bure mnagombania?
Mnatuangusha sana wanaume wote mliopanga foleni kwenda kugombania nyama za bure.
NB: HATA KAMA UNA NJAA AU UCHUMI UNAKABA, LAKINI MWANAUME JIFUNZE KUFICHA AIBU NDOGO NDOGO ZINAZOWEZA KUEPUKIKA, SABABU WEWE NI KICHWA CHA FAMILIA.
NA VIONGOZI WA DINI MSITUDHALILISHE KWANINI MSITUGAWIE VIFURUSHI VYA NYAMA NYUMBANI....MPAKA TUJE KWENYE NYUMBA ZA IBADA.....AU MNATUMIA UMASIKINI WETU KWA MANUFAA YENU?