Wanaume tusiwazoeshe pesa nyingi wanawake na watoto pesa nyingi

Philomena3

JF-Expert Member
Apr 24, 2024
1,012
2,330
Ni ijumaa! Nzuri maridadi kabisa Mungu nasi tena

kumekuwa na Kasumba ya kuwapa fedha nyingi wanawake na watoto wetu kimsingi ikiwa tunatumia lile neno "hutaki wateseke kama wewe kwa hussle ulizopitia ni kweli" lakini utakuja kugundua kitu kimoja pesa ni mwanaharamu sana

Ukiizoea sana especially kwa jinsia ke na watoto kuna vitabia huwa vinazuka siku pale utakapokuwa huna
utasikia mtoto kachukua vitu vya ndani kauza, mke kachukua mkopo kimya kimya Bila kukwambia baadae unakuja kudhalilika mara mtoto anafanya vitabia vya kishenzi shenzi apate fedha

Hii haipingwi kuna kipindi kama mwanaume unapitia hali ya kupungukiwa kama sio kuishiwa fedha kabisa

Basi ni vyema kumjuza mke hali ya mda huo kuliko kulazimisha aidha Kukopa au Kumantain status ilhal unajua upo kwenye ukata wa fedha

Wazoeze watoto siku nyingine wape hela kidogo "uwajengee Ile hali ya kujua kumbe kuna siku kunakutokupata au kupata kidogo ili waizoee na pia waweze kwenda na flow ya mabadiliko ya kiuchumi mazingira hawatasumbuka baadae kuwa vijana" Mbumbumbu"

Sasa wewe jifanye kujinyima utapewa mapicha mapicha na heart breaks za kufwa mtu🤣unasikia tu mtoto wako analiwa na mabaharia hovyo hovyo au kama ni wa kiume unajinyima unampa na yeye si Hana uchungu anaenda Kuhonga "binti" au anatumia rough rough Ile inawahi kuisha


Wanawake nao msi mnajua Tena wapo kama watoto "Sasa Mkuu ushamzoesha mamilioni" kwamba wewe ni BOT hujawah kuishiwa fedha"🤣

subiri siku uishiwe utakutana na hizi kauli kwa mkeo "Hela gani hizi unanipa??" "baki tu na vihela vyako" "kama kunihudumia umeshindwa Sema wenzako wakusaidie"

Mara nyingi mwanamke akishakuona mnyonge hakuna ulishawah kumchallenge kuhusu kumpa hela

"sometimes mnyime tu" au kama unayo mwambie mkeo/watoto subiri Baada ya siku/wiki/miezi kadhaa nitakupa "mfundishe tolerance/uvumilivu)

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom