Wanaume tunyoshane kidogo

Kwa uzoefu wangu wa mapenzi....inaonyesha wale wanaume wanaotamba HADHARANI kwamba wao ni ngangari ktk mapenzi..... Lakini ukifuatilia kwa MAKINI sana....unakuta wao ndy namba moja katika KULIZWA.....tena ukimkuta anga zake wakati wa MAUMIVU ni kama KIFARANGA kinaumwa UGONJWA WA BARIDI..jinsi alivyojikunja....mapenzi hayana mwenyewe...wala hayana CHEO..wala ubaunsa.....yakikufika.... Utalia tu...kama sio kwa sauti kubwa basi utatafuta hata mtungi uingize MDOMO ULIE watu wasisikie....
 
Wanaume tujifunze kumbadilikia mwanamke pale anapozingua...badala ya kukaa kimya ukidhani ndo uanaume..be straight huu ujinga sitaki sio mnapelekeshwa tu na kumezea..
 
We ujui unachoongea even how strong you are kuna break point, apo ndo wanaofel wapo,kwa iyo usizungumzie moyo wako kwa wengine, we have different break point,ikikufika utakua,..
 
DAHH UMENIFURAHISHA SANA YANI NAVUTA HISIA NAKUONA KAMA MTU KUTOKA SAYARI YA MBALI KAJA NA UJUMBE WAKI NABII .HUWA MIMI NATAMANI HATA KUMUWASHA VIBAO MY BROO COZ ANALIALIA KISA MKE.
 
Always mwanawake ni kama mtoto anahitaji usimamizi thabiti ili asifanye upuuzi ila hawa wa sikuhizi wamewekewa protection sana kiasi kwamba hata mkeo akizingua unaogopa kumtia mambata, ukiwaza unaeza ukaamkia central dawati la jinsia tofauti na mama zetu walikuwa strong na adabu juu kuwa wakikengeuka utaratibu wa baba yake ulikuwa unaendelezwa na mume baada ya kuolewa,ni mbata tu! Na hilo waliambiwa toka nyumbani kuwa kitachowaokoa ni adabu kwa mume tu sio kingine.

Walikuwa haruhusiwi kulalamika kokote ila kuvumilia ndoa tu maana hata kurudi nyumbani hairuhusiwi kwa kesi kama hizo. Sana sana atatimuliwa akaombe suluhu kwa mumewe huko maana ndio kwake!

Siku hizi ndoa ni ngumu kwa sababu mwanamke amepewa uwezo sawa na mume wake toka katika ukuaji. Utaona mgawanyiko wa kazi ndani utakuta mtoto wa kiume anafanyishwa kazi sawa na wa kike, atadeki, ataosha vyombo, atapika n.k. Wakati zamani mtoto wa kiume alifanya kazi zinazohusisha nguvu na akili nyingi tu huku hizi household chores zikiwa dedicated kwa mtoto wa kike. Hayo ndio matokeo ya utandawazi na upuuzi wa haki sawa katika malezi mama anapiga umbeya na watoto wa kiume kama shoga zake badala awafukuze wakakae na baba yao halafu mnakuja lalamika wanaume wa siku hizi wambea.

Impact yake ndio inakuja kujitokeza kwenye ndoa za kileo, mwanamke amelelewa katika fikra kuwa mwanaume ni sawa na yeye katika kila kitu and they overdo it kufikia stage kuwa na dharau na kiburi kingi. Haikutakiwa kuwa hivyo, mwanamke anakuja na tabia za mashindano nyumba haikaliki. Chimbuko ni malezi home, alitetewa sana katika mambo ambayo hata yalidhalilisha uanaume wa kaka zake kisa tu kuweka usawa.Tofauti na wale wa zamani kaka alikuwa akikoroma ni sawa na baba tu, waliambatana na baba zao na kupewa misingi na mama na dada walikuwa wanatii kauli zao. Watoto wa kiume sahizi baba akirudi wanakimbilia vyumbani na dada zao.

Mbaya katika yote mwanamke kupewa nguvu ya madaraka its against nature. Its not bad ila very foul at times ila tutafanyaje inabidi tuishi nalo,mwanamke akiwa na madaraka na kama alilelewa katika mfumo wa usawa shida yake kubwa anakuwa hatawaliki ndani ya nyumba. Atataka akupe masharti yake flani au atakaidi yale unayompa nae ili muende sawa na ukikataa haisaidii maana hana cha kupoteza anajua ataishi tu. Ana kazi yake freshi na kigari so kukutii ni option kwake na ukithubutu kumgusa tu ustawiiiii...

Akigeukia home ndio kabisaa anapokelewa kwa kiji party cha welcome back huku ww ukitumiwa polisi. Tofauti na mama zetu ambao adabu ndio ilikuwa msingi katika kuimarisha ndoa zao.

Kingine tunalaumu sana vijana wa kileo kuwa eti wanashindwa kuwa wanaume imara. Sasa utaanzaje kuwa imara kwa mwanamke kiburi mwenye backup ya kutosha+ malezi ya hovyo??? (Ustawi,Kazi,Wazazi)

Kusimamia misimamo kama mwanaume ni ngumu sana ikiwa una mwanamke mmoja tu siku hizi! Tofauti na wazee wetu naomba hili tukubaliane tu maana nina experience katika hili. Una option mbili tu, uwe na michepuko ama ukubali kuwa kama zombi tu mjengoni.
 
Back
Top Bottom