Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

Si mara zote ipo hivyo katika ndoa za aina hiyo
fatilia mambo uyajue wanaume wanateseka kinyama usimuone tu anatoka na gari getini anaenda sokon ukaona anafuraha wacha kabisa,
Hujiulizi kwanini wabunge wengi wa viti maalumu wamekacha ndoa zao na ndiyo wanaongoza kufanyiwa masage mahotelini
 
Ndiyo maana nikasema sio ndoa zote ziko hivyo.
 
Back
Top Bottom