Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 2,760
- 9,295
Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa.
Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa.
Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii tu wewe peke yako mke kumbuka pia:
1. UNA JUKUMU ZITO LA KUWACHAGULIA WATOTO WAKO MAMA BORA KWA MALEZI NA MAKUZI YAO.
2. UNA JUKUMU LA KUCHAGUA MKE AMBAYE ATAKUWA BINTI (MKA MWANA) BORA KWA WAZAZI WAKO.
3. USISAHAU KUWACHAGULIA KAKA NA DADA ZAKO MKE ATAKAYEKUWA SHEMEJI NA WIFI MZURI KWAO.
BILA KUSAHAU NDUGU NA MARAFIKI ZAKO WA KARIBU WAKIJA KWAKO WASEME KWELI UMEPATA MKE MWEMA.
Usiangalie tu urembo, tako, mwonekano, shape, elimu au kazi anayofanya kuna maisha baada ya kufunga ndoa.
A shameless wife will not only shame you but your children and family.