BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,196
Haya....
haya nini?Haya....
Me hapa tu ndo napowapendeaga wanaume. Likija suala la michepuko na quotes za maandiko matakatifu mnakumbuka. There is no justification for cheating period. Ntakuongezea madhara mengine ya nyie mkicheatNikupe tu summary:
Mwanaume akitoka nje ya ndoa athari kubwa ni moja tu ya kupata magonjwa. Mwanamke akifanya hivyo ataleta magonjwa na mitoto haramu kibao huku wewe ukiilea na kujua ni yako!
sijawahi kucheat hata kuwaza tu sijawahi for me cheating isn't worth it.. ila haya mambo haya kikubwa ni kumuomba Mungu tu kwa akili zetu hatutawezanawe uwe katika mstari uliyonyooka Jackyminaj
U rock it my dear love u miaka mia wakuuaaacheeeMe hapa tu ndo napowapendeaga wanaume. Likija suala la michepuko na quotes za maandiko matakatifu mnakumbuka. There is no justification for cheating period. Ntakuongezea madhara mengine ya nyie mkicheat
Hivi nyie kuleta maradhi nyumbani while mkeo ukute katulia maskini ya Mungu, ukayagongomola huko afu easy unamuambukiza mtoto wa watu, sio uuaji huo? Teh mke akikuletea mtoto wa nje, mtoto anakuwa "haramu", ila mnaozaa nyie na vimada vyenu ni watoto halali, waliobarikiwa na Mungu. ( sitetei wake kuzaa nje ya ndoa)
Sio tu maradhi, mnawadhalilisha sana wake zenu. Unakuta baba shababi zima na midevu yake na gutambi, anatoa siri za mkewe kwa mchepuko, ni akili au uji wa magimbi? Na vimichepuko vingine vina midomo kama chuchunge. Kila siku kuchokonoa wake zenu na kujitamba "ooh mie hivi, mie that", mie kitu gani bana, si ungeolewa wewe sasa pyeeee.
Michepuko mingine ni washirikina walioshindikana. Akimuonea sana huruma mkeo, basi Atamfunga mambo yake, watoto na kukufunga wewe usijali familia yako. Ila walivyo na roho ngumu wengine, hakawii kumrestisha in peace mkeo.
Wengine familia zinaishi kwa tabu kisa tu baba ana mchepuko so kila kitu ni kwa mchepuko. Nyie huku mtaishi kama street children, baba ana uwezo ila ndo hana habari tena na familia. Afu uzeeni watoto wasipowajali, mnatoaga lawama hadi mnatamani kulaani, teh ungejilaani wewe mwenyewe kwanza kwa kushindwa kuwatunza wanao na kuwapa malezi bora
Kingine sasa, wengine huwa mnachunwa huko jamani, mkiishiwa au mmepata migonjwa yenu huko, basi mnajirudisha home kwa wake zenu, vijuso kama piriton. Ngebe zetu zimeisha, una kipi cha kuringia tena apeche alolo teh
Hakuna mwenye haki ya kuchepuka kwenye ndoa. Heshimuni viapo vyenu vya ndoa. Kujifananisha na Mfalme Suleiman ili tu uchepuke, sijui hata niiteje. Mke mmoja tu anakutoa jasho, hao wawili watatu mtawaweza. Muwe na hofu ya Mungu, then sio tu kwamba mtawaheshimu wake zenu, ila pia hamtowatendea yale msiopenda kutendewa.
Thanks doll, love you too miaka 101U rock it my dear love u miaka mia wakuuaaacheee
Nyie men msome hapo juu vizurii muelewe na muweke akilin mwenu
Hata wewe hujui kitu...ingawa you pretend to know! Naam hujui kitu...wala huna akili nzuri! Na sitakuambia kwa nini naam...sikutukani...but that is the truth!Mleta mada ni mtu mpumbavu kabisa kwasababu mpumbavu ni mtu asiyeweza kuelewa chochote! Hata vitabu vya dini vimekushinda kuvielewa!
Mfalme Suleiman alikuwa na wake 700, na ipo hadithi kwenye Biblia juu ya mwanamke aliyepelekwa kwa Yesu kwa kosa la kuzini, ulishawahi kujiuliza ni kwanini alipelekwa mwanamke tu wakati kuna mwanaume aliyezini nae?!
Waislamu wanaoa mpaka wanawake wanne, upo hapo?
Jamii mbalimbali wanaume wanaoa wanawake zaidi ya mmoja, upo?
Sasa ni wapi mwanamke aliolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja?
Nikupe tu summary:
Mwanaume akitoka nje ya ndoa athari kubwa ni moja tu ya kupata magonjwa. Mwanamke akifanya hivyo ataleta magonjwa na mitoto haramu kibao huku wewe ukiilea na kujua ni yako!
Ndo maana papuchi ilifichwa mbali sana kuliko dushe!
umeona, ehUmesoma yote??
Sio kweli mkuu,sambusa zinatofautiana kwa structure na hata ladha.sio hivyo dada, ninachosemea mimi ni kwamba si ruhusa kwangu wala kwake kwa kukuwa sambusa ni ile ile na Utamu ndio ule ule
Ukimwaga mboga ndio utakuwa umetatua tatizo?That right mleta mada tatizo wanaume wanapenda kujiona wako right kwa kila jambo especially kuchepuka
Hivi mnafikiri sisi tuna mioyo ya chuma?
Ukimwaga ugali namwaga mboga
Maneno ambayo yanaupa ganzi moyo wa mwanaume, maneno yanaupa mwili wa mwanaume baridi hadi anashikwa ngiri.....
That right mleta mada tatizo wanaume wanapenda kujiona wako right kwa kila jambo especially kuchepuka
Hivi mnafikiri sisi tuna mioyo ya chuma?
Ukimwaga ugali namwaga mboga
Me hapa tu ndo napowapendeaga wanaume. Likija suala la michepuko na quotes za maandiko matakatifu mnakumbuka. There is no justification for cheating period. Ntakuongezea madhara mengine ya nyie mkicheat
Hivi nyie kuleta maradhi nyumbani while mkeo ukute katulia maskini ya Mungu, ukayagongomola huko afu easy unamuambukiza mtoto wa watu, sio uuaji huo? Teh mke akikuletea mtoto wa nje, mtoto anakuwa "haramu", ila mnaozaa nyie na vimada vyenu ni watoto halali, waliobarikiwa na Mungu. ( sitetei wake kuzaa nje ya ndoa)
Sio tu maradhi, mnawadhalilisha sana wake zenu. Unakuta baba shababi zima na midevu yake na gutambi, anatoa siri za mkewe kwa mchepuko, ni akili au uji wa magimbi? Na vimichepuko vingine vina midomo kama chuchunge. Kila siku kuchokonoa wake zenu na kujitamba "ooh mie hivi, mie that", mie kitu gani bana, si ungeolewa wewe sasa pyeeee.
Michepuko mingine ni washirikina walioshindikana. Akimuonea sana huruma mkeo, basi Atamfunga mambo yake, watoto na kukufunga wewe usijali familia yako. Ila walivyo na roho ngumu wengine, hakawii kumrestisha in peace mkeo.
Wengine familia zinaishi kwa tabu kisa tu baba ana mchepuko so kila kitu ni kwa mchepuko. Nyie huku mtaishi kama street children, baba ana uwezo ila ndo hana habari tena na familia. Afu uzeeni watoto wasipowajali, mnatoaga lawama hadi mnatamani kulaani, teh ungejilaani wewe mwenyewe kwanza kwa kushindwa kuwatunza wanao na kuwapa malezi bora
Kingine sasa, wengine huwa mnachunwa huko jamani, mkiishiwa au mmepata migonjwa yenu huko, basi mnajirudisha home kwa wake zenu, vijuso kama piriton. Ngebe zetu zimeisha, una kipi cha kuringia tena apeche alolo teh
Hakuna mwenye haki ya kuchepuka kwenye ndoa. Heshimuni viapo vyenu vya ndoa. Kujifananisha na Mfalme Suleiman ili tu uchepuke, sijui hata niiteje. Mke mmoja tu anakutoa jasho, hao wawili watatu mtawaweza. Muwe na hofu ya Mungu, then sio tu kwamba mtawaheshimu wake zenu, ila pia hamtowatendea yale msiopenda kutendewa.
Liwalo na liwe tu hamna namnaUkimwaga mboga ndio utakuwa umetatua tatizo?