Wanaume na yaliyoko chini ya kapeti

Hata huyu anaye lalamika kuwa vibamia havipendi asingelalamika ,analalamikia vibamia kwa sababu sehemu za siri zimepanuka na kutepeta kwa kitendo cha kuingiza kila aina ya mche tena yenye ukubwa tofauti,kwaiyo ina fika mahala ili uke ukaze vizuri anaitaj miche mikubwa tu,lakin yeye ndo source.

Mkuu hivi unajua hizo sehemu unazosema kinapita kichwa cha mtoto na mabega na bado kitu kinarudi vilevilee? Sembuse hiyo miche? Kama mna vibamia mna vibamia tu msiwasingizie wadada wa watu.
 
Lazima tufike mahala tuweke ukweli mezani kisha tutafute solution lakin tukiendelea kutupia a lawama haitatusaidia sana ndugu zangu. MTU mmoja alisema binadam tumeumbwa na maumbile tofauti tofauti kama ilivyo watu wafupi warefu ,wembamba na wanene ndivyo ilivyo na maeneo ya siri lakin hata hivyo matatizo mengi yanaletwa na binadam kuliko. Mfano ukinunua soksi mpya mwanzoni inabana vizuri mguu wako lakin baada ya muda haitabana sana tena kama awalii uliponunua ila itabana kiasi tu kwa kuwa imezoea saiz ya mguu wako ,sasa akija akivaa mtu mwenye mguu mdogo kuliko aliyezoea Haita bana ipasavyo kabisa tena kama mguu mdogo sana ndo kabisaa . sasa hivyo hivyo uke in sawa na soksi ambayo kama haijawahi tumika inakuwa imepanuka kulingana na shepu ya uume wa mhusika sasa unakute Leo uke umeingiza uume wa saiz hii kesho ile,na kama alianza huo mchezo toka primary hadi chuo na mpaka aolewe hiyo tube itakuwa imelegea sana sana hata kama kuna kujifariji lakin wapi huwezi linganisha na uke uliotulia na aina moja ya uume tokea awali nakama alitoa na mimba ndo kabisaa. Tumtii mungu jamani,yeye anajua zaid yetu.na kijana wa kiume anatumika sana toka primary mpaka anafika wakati was kuoa ameshapoteza nguvu nyingi sana kwa wanawake wengine kuliko mke wake wa haki. Sasa shida kubwa binti anakuja kumpenda kwa dhati kijana baadae na wanaoana nakijana mwenye uume ambao wa saiz ya kati ambayo uke wake haujazoea yeye kazoea mitwangio mikubwa tu hapo sasa ndoa haidumu tena maana kijana hatakuwa tayar kuishi na mwanamke mhuni na binti anampenda sana kijana na kumwacha hawezi coz anampenda sana lakini haridhishwi kimapenzi kabisa.
 
Mkuu hivi unajua hizo sehemu unazosema kinapita kichwa cha mtoto na mabega na bado kitu kinarudi vilevilee? Sembuse hiyo miche? Kama mna vibamia mna vibamia tu msiwasingizie wadada wa watu.
Kupita kwa mtoto in jambo la asili ambalo mungu mwenyewe ameliweka na akipita hafanyi mfulurizo in Mara moja tu mpaka siku nyingine tena baadae sasa kwenye ngono mtwangio wa mtu unasugua pale nenda rudi nenda rudi ni vitu viwili tofauti
 
unakuta kasistaduu kanariiinga, kanajidai na kana mbwembwe nyingi ila kwenye king bed ni majanga tupu..........
 
unakuta mwanaume anakutongoza mwaka mzima kwa machozi na kukuhonga siku ukija kumpa kumbe kibamia hata bao mbili hawezi
jembe huna shamba unalilia la nini
Umenkumbusha mbali yashawahi nikuta haaaaaah hadi aibu kwa kweli
 
Back
Top Bottom