Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
umewaona wapi rafiki na wewe upo mikoani?
 
afu nyie wakaz wa mikoani... badala mda huu... mkalime... mnasumbua huku... huku ni kwa ajili ya watu wa dar tu... nyie kalimen mtu letee chakula watu wa mjini
Mkuu nasikia wanaume wa dar siku hizi ata kazi hawafanyi... Wanasutana kama wadada...
 
afu nyie wakaz wa mikoani... badala mda huu... mkalime... mnasumbua huku... huku ni kwa ajili ya watu wa dar tu... nyie kalimen mtu letee chakula watu wa mjini
ila hata mie jana nilimuona mmoja bank ana shirt yumkini na vest ndani , then ana sweta na juu kaweka koti!! ajabu alikuwa anatoka jasho leso imelowa ile mbaya! Dar yetu hiyooo
 
Back
Top Bottom