Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,373
Una miezi miwili kwenye ndoa na umeanza kuyalalamikia hayo, utadumu kweli?
usiseme wanaume sema bwana yako.it not all men.just your men do that shit.
swissme
Mkuu wewe ni mfuasi wa Sheikh Hilal Kipoozeo? Unapenda neema za Allah?Huwa tunathaminisha tu.
Wala sio kutokwa na udenda, nia kama unavyoenda Mliman City pale kufanya window shopping, haina maana una nia ya kununua.
Na thamani kubwa ya nyumba ni kwenye choo, ndio maana lazima tukishathaminisha kwenye sura lazima tuthaminishe na nyuma pia.
Ras Simba kakurudishia ile ada.usiseme wanaume sema bwana yako.it not all men.just your men do that shit.
swissme
Binafsi napata shida sana kuwaelewa wanaume walio wengi.
Unakuta mtu ana mke tena hana kosoro lkn akitokea mwanamke mwingine atatazamwa huyo mpaka utalazimika kusema.
Juzi nilikuwa nakwenda mahali Fulani na mume wangu yeye akiwa anaendesha gari mara tukasimama kwenye zebra kupisha waenda kwa miguu..akapita Dada mmoja mzuri kiasi basi mume wangu alimtazama mpaka alipotokomea.. Haikuishia hapo tulipo fika tulipokuwa tunakwenda muhudumu aliyetuhudumia alikuwa ni mwanamke wakaida tu sana lkn mume wangu ali mtazama mara amkonyeze basi fujo tupu mpaka nikaamua kukatisha kinywaji na kuamua kurudi home.
Nawauliza wanaume kwanini mkiona mwanamke udenda unawatoka? Kwann msilidhike na wapenzi au wake zenu?
Jitathiminini heshima ifuata mkondo.
Nawasirisha.