EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,346
Mara zote hubweteka na huwepo ile fikira ya kwamba eti yeye ndo mama wa mji hivyo inampelekea mpaka kusahau majukumu yake ya mhimu hasa ndoa. Huyo wa nje anajua kabisa kwamba anatumika kwa mda ndo maana hujitahidi kunogesha sana.ok sawa huyo wa nje anafanya mbwembwe,ndo ucheat? why usimwambie mkeo ajirekebishe pale alipokosea?