Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu

Huyo mwanaume alaaniwe maisha yake yote, ningekuwa in mim ningemwambia hutakaa ufanikiwe tena tena ningemwambia atafilisika mpaka kwenye ukucha na atakosa wa kumsaidia lazim ningemchimba biti kidogoo
 
Bora wewe umetuelezea yaliyokusibu!Mengine yawe siri yako kama ulipitiwa mbio au kiana!Amini umejifunza,na wala haupaswi mlaaani kihivyo,Mungu atakulipia tu na kukutafutia pooooozo la Moyo
 
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.

Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano yako facebook huko au instagram na mapicha yako sura yenyewe hata kwenye camera haikai ilivo pana utasemaje?

Jiheshimuni mtakuja kuona watu wabaya mtakapokuta picha zenu za uchi kwa baba wakwe zenu na maofisini mwenu na mashuleni kwa watoto wenu usijione mjanja mnachokitaka mtakipata soon.
Makubwa mmeshaonyeshana hadi nyuchi zenu mimi napita nilikuja kuomba chumvi tu
 
Hata sisi wanawake hatujambo.

Unakuta tunajua kabisa mtu ana mke wake lakini tunajidanganya kuwa sisi ni zaidi na tutajituma mpaka atahamishia majeshi kwetu.

Mda unaenda, unaendelea kuliwa weeee na ulivyo na kasi ya kumuachisha mwenzio mpaka kinyume cha maumbile unampa.

Siku zinaenda weeee mawasiliano yanaanza kukata, huduma nayo, mara paaa. Umeachwa.

Machungu na majuto yanaanza. Ndo mwanzo wa kuona sura ni pana na kutaka kudhalilishana.

Kila siku nasemaga wanaume ni wawindaji. I abidi kuwa na akili ya ziada kuepuka kuliwa ovyo ovyo.
Fact.
 
Back
Top Bottom