Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,584
- 48,743
- Thread starter
- #41
alikuwa hanishiki mimi tu mkuu hata kama nilikuwa na mazoea nae ni ya kawaida tu sio ya kudhalilishwaMkuu kuna chanzo ila kwa kuwa tunasikiliza upande mmoja lazima utajitetea angekuwepo na yeye hapa tungepata jibu sahihi kuwa nan tatizo