Wanaume kutovaa chupi ndio habari ya mjini

Uvaaji wa chupi kwa mwanaume imebaki historia maana huwa zinapunguza uzalishaji wa mbegu.
 
Joto Kali Dada.... Hamna kuvaa kyupi mjini inasababisha michubuko....
Wanaume Wa dar es salaam
hahhahaha my small bro, kumbe wanaume wa dar bhana.

Lohhh sisi huku baridi bhana wanaume wetu vyupi lazima ila nimeona wanaume wa dar wanafaida cause hiyo hewa wanayoipata nataka nimwambie shem wako nae aanze kujaribu.
 
kuna kipindi nlikuwaa navaa boxer za kubana.. mara siku moja nikamwona mwenzangu analia tu.... kuuliza eti mbn nambana namyanyasa hivo mpendwa wake?

acheni kunyanyasa nanilihii za watu, hizi si zetu bali zao na zao si zao bali zetu.
 
Bila chupi mwanamme unawezaje kukimbia hasa wacheza mpira wa miguu, si itabaki kama ya beberu.
 
Siriazi mimi siku hizi sivai chupi wala boxer machine inapunga upepo tu burudaniiiii. Ila omba usitegwe manaake itavyotuna lazima uumbuke kitu mnara live bila chenga
 
Hawa wanaume wasiovaa chupi bila shaka ni team vibamia! Mwanaume wa kweli usipovaa chupi mzigo lazima uonekane hadharani.
 
Hawa wanaume wasiovaa chupi bila shaka ni team vibamia! Mwanaume wa kweli usipovaa chupi mzigo lazima uonekane hadharani.
Si kwell kidume mwenye mzigo mkubwa avaichupi ila awo unao sema ndo wanavaa
 
Mwanaume ambaye havai chupi labda ana kibamia..kwa wenye mitaimbo ni ngumu coz mda wote dushe itakuwa online
 
kuna kipindi nlikuwaa navaa boxer za kubana.. mara siku moja nikamwona mwenzangu analia tu.... kuuliza eti mbn nambana namyanyasa hivo mpendwa wake?

acheni kunyanyasa nanilihii za watu, hizi si zetu bali zao na zao si zao bali zetu.
Hahaha dah
 
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.

Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha mkandamizo wa sehemu hizo muhimu na kusababisha joto kali. Kuwepo kwa joto kwenye anga hizo hupelekea tatizo la Low sperm count. Ukiwa na tatizo hili kwako kupata mtoto itakuwa ni ndoto.

Usipovaa chupi, viungo vinapata hewa ya kutosha na kukupa burudani.
Chupi ninazoongelea ni zile ambazo sio boxer au bukta.
1460190433231.jpg

Madhara yake ndo hayaa
 
Back
Top Bottom