Wanaume kujipoda inamaana wamekosa mbinu za kuwafuata wanawake?

Habar wana jf,
Moja kwa moja niende kwenye Mada husika ..katika miaka ya hivi karibuni.. Kumetokea wimbi kubwa LA wanaume ...kuanza kujipodoa saana.ili tuu kuweza kuwavutia wanawake...yani wamekosa kabisa mbinu za kuwafuata wanawake ...na kuona njia inayofaa ni kuanza kujipodoa saana ili tuu walete mvuto kwa wanawake ...
Kiukweli jambo hili linanisikitisha saana coz ...kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo idadi kubwa ya wanaume wanaodumbukia kwenye mambo ya ajabu ...inaongezeka.
Mwanaume unapaswa kuwa msafi na nadhifu tuu inatosha ..lakini mambo ya kujipodoa saana hayo ni ya kike
Wanawake ndio wanapaswa kujipodoa ili kutuvuta ..lakini mvulana unapojipodoa ili kuwavutia wa kina Dada unakua unafeli saaaana....
Nimalizie kwa kusema
..*hawawavuti wanawavutia*
Unauhakika wanajipodoa kuwavutia wanawake?
 
Back
Top Bottom