BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,910
Akikubaka si unamgeuzia kibao tu muraaa,..
hakuna sheria inayoweza kumhukumu mtoto wa kike anapobaka ?Dawati la jinsia kwenye vituo vya polisi si lipo hivi..vipi kuhusu TGNP...
Chama vha kutetea haki za wanaume niliwahi kukisikia kipo KENYA... Tanzania inabidi kianzishwe kuwasaidia wanaokumbana na kadhia kama hizo
Lina simama ulitakiwa uchukuwe maelezo kutoka kwangu ujuwe nimebakwa na mwanamke yupii?Ukihisi unabakwa tu utakuwa na hofu na stress. Sasa ukiwa na hofu ongeza stress hilo dushe linadinda vipi?
Ushahidi si watapima dushelee watakuta lilikuwa used mda flani kwani hakuna vipimo hivyo??Shida inakuja kwenye ushahid sasa
jaribu na nakuomba upate mtoto mmoja matata sana ili uwonje raha na uchungu wake maana utatamani aendelee kukubaka siku zote na wakat kubakwa ni mara moja na hapo ndo inapokuja kuumaEbungoja nijaribu comrade, alafu nitaleta mrejesho
sasa hapo kuna kesi tena mkuu??Malalakiko yako peleka kwa mbakaji
K haikataliwi ila kinachokataliwa mazingira ya kunipa kIvi wanaume wanakataaaga k ya bure kweli
Sasa mkuu kubakwa na mtoto mzuri si ubakaji wa kiwango cha lamiiWe jamaa unazingua bana hizi bangi sio nzur eti ubakaji wa kiwango cha lami
Na sie ili tusipoteze ushahidi inatakiwa tufanyeje?Maana hawa k huwa wana ambiwa wasioge wala kuosha k ili wasipoteze ushahid, sasa sjui kwa wewe itakuwaje mkuu.
Na nyie mwaandaliwaga kumbeee,mm nnavojua mkionaga upaja tu hamunaga hali ivi inakuaje ioK haikataliwi ila kinachokataliwa mazingira ya kunipa k
Mfano unataka kunitunuku "k" ni vyema ukaniandaa sio gafla gafla tutakuja kuuwana wengine hatuwezagi suprise maana tunaugonjwa ule wa kitoto degedege na mkitupa vitu vitamu vya kushtukiza huwa unanirudia
Unafanyeje mkuu nipe maujanjaAkikubaka si unamgeuzia kibao tu muraaa,..
Duh kwahiyo tuwache waendeleee kutunajisi tuMkuu unatakiwa ushukuru sana kubakwa na mtoto wa kike kwani kesi zake huwa ni za kimya kimya
mkuu kwani kubakwa huwa hiyarii au unaambiwa unabakwa?Duuuhh mm kubakwa siwez
Mwanaume ana andaliwa tena ukijuwa jinsi ya kumwandaa mwanaume ni hatari maana ......Na nyie mwaandaliwaga kumbeee,mm nnavojua mkionaga upaja tu hamunaga hali ivi inakuaje io
Funny....Lina simama ulitakiwa uchukuwe maelezo kutoka kwangu ujuwe nimebakwa na mwanamke yupii?
maana bint aliyenibaka ni wa ukweli nilishindwa jizuia dushee lisimame ,
ila na laani kitendo chake maana ametumia nguvu kubwa kunishawishi
pole kwa kubakwaMwanaume ana andaliwa tena ukijuwa jinsi ya kumwandaa mwanaume ni hatari maana ......