Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,525
Hivi inapotokea ukabakwa na mwanamke nini cha kufanya na wapi unaweza kwenda kupeleka mashtaka yako?
Je vipo vyama ambavyo vinawatetea wanaume?
kuna kubakwa kwa hiyari kweli??nenda polisi umeenda wakakataa kukusikiliza? ila kubakwa kuna raha yake kama unabakwa kwa hiari lakini
mkuu yamenikuta mkuu nasijui niende wapi nipeleke malalamiko yangu ,aisee kubakwa tehetehe! Naona kituo kizima cha polisi wataumia mbavu kwa kicheko.
Kwani ushawahi kubakwa? Umejuaje kubakwa kuna raha yakeee???nenda polisi umeenda wakakataa kukusikiliza? ila kubakwa kuna raha yake kama unabakwa kwa hiari lakini
Nenda kwa miss natafuta mkuu akufanyie utaratibu wa kufungua mashtaka!mkuu yamenikuta mkuu nasijui niende wapi nipeleke malalamiko yangu ,
Shukran mkuu ,ila asije naye akaniongezea kunibaka mkuu??Nenda kwa miss natafuta mkuu akufanyie utaratibu wa kufungua mashtaka!
Hivi inapotokea ukabakwa na mwanamke nini cha kufanya na wapi unaweza kwenda kupeleka mashtaka yako?
Je vipo vyama ambavyo vinawatetea wanaume?
Mkuu mtu akikulazimisha kufanya kitu ambacho hukuwa tayari na akatumia njia mbali mbali kuhakikisha anapata anachokita bila ya utayari huu ni ubakajiHivi ' umedindisha ' kabisa ' Mkuyenge ' wako mwenyewe na ' ukauchomeka ' Shimoni kwa ' Utashi ' wako kabisa sasa iweje tena useme kuwa ulibakwa Mkuu? Kubakwa kwa Mwanaume ni mjadala ambao uko complex sana kuujadili hasa kutokana na mazingira na maumbile ya Mwanaume.
Ngoja nipate sehemu ambapo mnaweza mkahukumiwa ,wabakaji kama nyie ...Mi mbakaji maarufu
Mkuu usiombe yakakukuta ,hata mimi zamani nilikuwa natamani hivyo hivyo ila yamenikuta najua uchungu wakeKama kuna mbakaji humu ndani mimi nipo tayari kubakwa.
Mkuu ngoja utapobakwa ndo utajua uchungu wake ,kina dada nibakeni mimi
Yani udindishe mwenyewe, uje useme umebakwa wakati all she did ni kuchomekaNgoja nipate sehemu ambapo mnaweza mkahukumiwa ,wabakaji kama nyie ...
Huwa mnatuathiri kisaikolojia sana
hapana sikudindisha ila alinidindisha kilazima kwahiyo sina makosa hapo maana yeye alinidhoofisha kihisiaYani udindishe mwenyewe, uje useme umebakwa wakati all she did ni kuchomeka
Hivi mkuu mfano hukuwa na nia na mtu akakuita falagha akaanza kukuamsha hisia japo ulikataa ila hisia zikakuzidi nguvu kutokana na mitego mbali mbali ukajikuta hammad kashaupalamia anaanza kujipimia bando ?Huwezi kumbaka mwanaume hata siku moja. Ikisimama tu ni hiari na siyo kubaka