Wewe ukirudi nyumbani huwa unasafisha nyumba ,unafua unawangalia watoto? Mke anafanya yote hayo Kwa pamoja, embu chukua likizo wiki mke awe mtafutaji ukae nyumbani na watoto zako tena wadogo ili ujidunze.Si na wewe uoe mkuu uone ilivyo kazi kulea mtoto wa mtu hadi azeeke na akikuletea shobo ufungwe jela maisha na zaid ya hapo ukizingua ufe wewe...
Na mali zako unazotafuta kwa jasho na damu ziitwe za watoto na ndugu zako hawana haki juu yake
Hiyo ya kufua mbona ndogo sana...