- Thread starter
- #161
😂Don't judge a book by it's cover. Maana sio kwa povu HiloNilichogundua mleta mada ni;
Kabla ya kuolewa kwanini hukujifunza kupika!?
- mvivu uliyetukuka na halipendi kijifunza
- Hataki kukubali mapungugu yake
- Ni mbishi na hasikii
- Katoka kwenye malezi ya kufanyiwa vitu na wasaidizi
- Anataka yeye awe mtawala na alelewe kama yai, alafu kakutana na chuma cha pua
- Hapendi kufanya kazi
Kama hapo yamekushinda kwanini haurudi kwenu!?, au na wenyewe hawakutaki maana wanajua wewe ni changamoto
Ukienda roma jifunze kuishi kama waroma, huwezi tembea haujafungiwa kamba
Wewe ni mvivu na mchafu sana