The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,290
- 65,758
Kwani alikulazimisha akuoe?Yaani mtu umesema ngoja basi tusogeze maisha Bado anakunanga , na Hela Hana😂
Wewe akili huna,Mwanamke mwenye akili timamu na maadili hawezi kuanza kumsema mumewe mitandaoni eti hana hela!!
Wakati anakuoa hizo hela alikua nazo? Kwanini ulikubali akuoe?
Kama maisha yamekushinda rudi kwenu,kulalamika mitandaoni hakuwezi kukusaidia lolote,
Mwanamke timamu hawezi kutangaza maisha yake na ya mumewe mitandaoni.