Wanasiasa watz wana uwezo mdogo sana huwa nashangaa mnapowakuza na kukubali wawe ndo decision makers wenu!

Manfried

JF-Expert Member
Oct 11, 2024
800
2,448
Nchi zilizoendelea huwa zinakuaga na thinkers wao na wanalipwa kwa ajili ya hiyo Kazi.


Ni Tanzania pekee utakuta vilaza waliofeli shule na walisoma masomo ya arts ya kukariri ndo wanafanya maamuzi ya nchi

This is bullshit

Sifikirii watu Leo wanawaza nani bora Kati ya mmoja aliyepa zero form Six 🤔 kidding

Mkikaa na hawa mnawaita wabunge kule Dodoma ndo mtaelewa hawa jamaa ni zero kabisa
 
Kiufupi watanzania wenye akili na uwezo mkubwa wa kufikiri, kupanga mipango na kuitekeleza kwa ufanisi na hata kuongea mambo ya maana na uwezo mkubwa wa ushawishi katika watu milioni 60 hatuzidi 3% na wote hatupo kwenye system
 
Back
Top Bottom