Wanasiasa vijana: Maghembe Jr Vs Malecela Jr ( aka Le mutuz)

We mlete uzi 56 ni kijana au unataka kuleta utani kwenye jamii
 
Le-mutuz si kijana ni Lizee lina miaka 52 au zaidi ingawa ni kula kulala bado linakaa kwao gheto nyumba moja na wafanyakazi bake 3 .
 
Lemutuz anawadanganya hana cheti hata kimoja, alikuwa anabeba mabegi Airport hicho chuo alisomea wapi? Huoni rafiki yake nae ndio wale wale!!! Kuvaa joho hata UDSM waliofail tuliwaazima majoho wakavaa na sherehe wakafanya kuua so home so usihangaike nae kuonyesha picha za joho mwambieni aweke picha ya cheti hata kutoka zile mushrooms universities za kule alikokuwa muone kama hata lia!! Halafu unamwita lemutuz kijana? Shame on you!!! Lemutuz ni rika la Mbowe! LEMUTUZ ni wale watu wenye mtindio wa ubongo ambao sio wa kuonekana hadharani!!!! Umri umeenda anawaza kama mtoto!!! Ni Chizi fresh ile
 
Duh! Nimeshangaa jinsi huyu Ndugu Lemutuz mnavyomtupia mawe, kwani ka aje,? Mimi navaa mapensi Jamaa wananiita Lemutuz nipige Mkono? Nipeni sifa zake. Please [HASHTAG]#kuwese[/HASHTAG].
 
Ukifikisha miaka 50+ wewe ni mzee rasmi. Una fikra za namna gani hiyo ni mada nyingine.
Hiyo ni kwa mujibu wa mila na desturi au ni kisayansi?Maana ukimuita le mutuz mzee sijui Wassira utamuitaje, na Kingunge je?!!
 
Kutwa lipo kwa Devis mosha kudanga njaa limekuwa mdananda hatari kwenye radio ya swahili limepewa shea feki za 0.003 nalo linadanganya watu ni mkurugenzi, kubwa jinga sasa linaishi kwa Daud Bashite linakula pesa zake kwa kisingizio cha kumtetea Daud makonda Bashite.
 
Le-mutuz kafundishwa na Steven Nyerere jinsi ya kula pesa za GSM na Daud Bashite wapo busy usiku na mchana kumtetea Bashite mitandaoni na mitaani, kubwa jinga linaendesha miladi haramu.
 
DAB and Le Mutuz are birds of the same feather, Le Mutuz is imbecile.
 
-le-mutuz ni kihiyo kilaza mkubwa hana cheti hata cha kudeki choo tu, ni aina fulani ya zuzu Digtal linalopenya kwa kivuli cha mzee malichela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…