We mlete uzi 56 ni kijana au unataka kuleta utani kwenye jamiiKatika uchaguzi uliopita wa bunge la EA vijana waliwakilishwa na W Malecela aka le mutuz lakini kura hazikutosha hivyo hakwenda Arusha.Mwaka huu tumewakilishwa na kijana mwingine msomi Dr Maghembe Jr ambaye kura zimetosha na anakwenda Arusha kutuwakilisha.Swali langu, je vijana mmejifunza nini kupitia vijana hawa wawili wasomi na waliofanya kazi nje ya nchi?Unadhani Le mutuz alifanya kosa gani ktk uchaguzi uliopita ambalo Dr Maghembe Jr hakutaka kulirudia?Vijana karibuni kwa mjadala, ahsante!
Baba yake siyo!!!Ukisikia mtu anasema lemutuz ni kijana basi huyo mtu atakuwa na miaka 80 na kuendelea.
Za mdomoni tu...ana ka diploma tu..form 4 alifeli kama bashite sema hakuiba vyeti tu yeyewe sema hakyamungu???? mbona yeye anasemaga kwamba anadigirii tatu?
Le-mutuz si kijana ni Lizee lina miaka 52 au zaidi ingawa ni kula kulala bado linakaa kwao gheto nyumba moja na wafanyakazi bake 3 .Katika uchaguzi uliopita wa bunge la EA vijana waliwakilishwa na W Malecela aka le mutuz lakini kura hazikutosha hivyo hakwenda Arusha.Mwaka huu tumewakilishwa na kijana mwingine msomi Dr Maghembe Jr ambaye kura zimetosha na anakwenda Arusha kutuwakilisha.Swali langu, je vijana mmejifunza nini kupitia vijana hawa wawili wasomi na waliofanya kazi nje ya nchi?Unadhani Le mutuz alifanya kosa gani ktk uchaguzi uliopita ambalo Dr Maghembe Jr hakutaka kulirudia?Vijana karibuni kwa mjadala, ahsante!
Le-mutuz ni lizee limejificha kwenye Ujana kwa kuforce tu, kichwani hamna kitu ni jitu lijinga lijinga sana.Ukisikia mtu anasema lemutuz ni kijana basi huyo mtu atakuwa na miaka 80 na kuendelea.
Kwani uzee ni umri au fikra?Ukisikia mtu anasema lemutuz ni kijana basi huyo mtu atakuwa na miaka 80 na kuendelea.
Kwani uzee ni umri au fikra?
Hiyo ni kwa mujibu wa mila na desturi au ni kisayansi?Maana ukimuita le mutuz mzee sijui Wassira utamuitaje, na Kingunge je?!!Ukifikisha miaka 50+ wewe ni mzee rasmi. Una fikra za namna gani hiyo ni mada nyingine.
Kutwa lipo kwa Devis mosha kudanga njaa limekuwa mdananda hatari kwenye radio ya swahili limepewa shea feki za 0.003 nalo linadanganya watu ni mkurugenzi, kubwa jinga sasa linaishi kwa Daud Bashite linakula pesa zake kwa kisingizio cha kumtetea Daud makonda Bashite.Lemutuz anawadanganya hana cheti hata kimoja, alikuwa anabeba mabegi Airport hicho chuo alisomea wapi? Huoni rafiki yake nae ndio wale wale!!! Kuvaa joho hata UDSM waliofail tuliwaazima majoho wakavaa na sherehe wakafanya kuua so home so usihangaike nae kuonyesha picha za joho mwambieni aweke picha ya cheti hata kutoka zile mushrooms universities za kule alikokuwa muone kama hata lia!! Halafu unamwita lemutuz kijana? Shame on you!!! Lemutuz ni rika la Mbowe! LEMUTUZ ni wale watu wenye mtindio wa ubongo ambao sio wa kuonekana hadharani!!!! Umri umeenda anawaza kama mtoto!!! Ni Chizi fresh ile
Ni kikongwe kubwa jingaJamani jamani...le mutuz si ana zaidi ya 56 years?? Iweje leo aitwe kijana???
DAB and Le Mutuz are birds of the same feather, Le Mutuz is imbecile.Lemutuz anawadanganya hana cheti hata kimoja, alikuwa anabeba mabegi Airport hicho chuo alisomea wapi? Huoni rafiki yake nae ndio wale wale!!! Kuvaa joho hata UDSM waliofail tuliwaazima majoho wakavaa na sherehe wakafanya kuua so home so usihangaike nae kuonyesha picha za joho mwambieni aweke picha ya cheti hata kutoka zile mushrooms universities za kule alikokuwa muone kama hata lia!! Halafu unamwita lemutuz kijana? Shame on you!!! Lemutuz ni rika la Mbowe! LEMUTUZ ni wale watu wenye mtindio wa ubongo ambao sio wa kuonekana hadharani!!!! Umri umeenda anawaza kama mtoto!!! Ni Chizi fresh ile
-le-mutuz ni kihiyo kilaza mkubwa hana cheti hata cha kudeki choo tu, ni aina fulani ya zuzu Digtal linalopenya kwa kivuli cha mzee malichelaLemutuz anawadanganya hana cheti hata kimoja, alikuwa anabeba mabegi Airport hicho chuo alisomea wapi? Huoni rafiki yake nae ndio wale wale!!! Kuvaa joho hata UDSM waliofail tuliwaazima majoho wakavaa na sherehe wakafanya kuua so home so usihangaike nae kuonyesha picha za joho mwambieni aweke picha ya cheti hata kutoka zile mushrooms universities za kule alikokuwa muone kama hata lia!! Halafu unamwita lemutuz kijana? Shame on you!!! Lemutuz ni rika la Mbowe! LEMUTUZ ni wale watu wenye mtindio wa ubongo ambao sio wa kuonekana hadharani!!!! Umri umeenda anawaza kama mtoto!!! Ni Chizi fresh ile
Leo akiingia JF lazima pressure itampanda kwani anajua JF wengi wanamdharau sana.DAB and Le Mutuz are birds of the same feather, Le Mutuz is imbecile.