Mzee Joji kutoka Liwale constituencyNanihuyo

Umemsahau KafulilaView attachment 3175759
1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma.
2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio wakati akiwachanja chale. Hansard zipo, mkasome.
3. Andrew Chenge aliwahi kukutwa anamwaga ungunga mweupe kwenye viti vya bunge.
4. Hamis Kigwagalla mpk leo picha zake zimo mitandaoni zikimuonesha yuko kwa mganga anaroga.
5. Waziri Salum , inasemekana ndiye anashikilia tunguli zinazomlinda mama ktk uga wa nguvu za giza. Unadhani anasafiri na mama kila pahala kwa kazi gani?
6. Inasemekana kilichokuwa kinamuweka Makonda karibu na Magufuli ni kwamba yeye ndiye alikuwa mtafuta waganga mkuu wa Magufuli.
7. Lisu alipigwa risasi 16 zikaingia mwilini. Inasemekana naye yuko vizuri ktk uga wa nguvu za giza ndiyo maana hazikumuuwa. Kama hutaki acha, usinifokee.
8. Nyerere ile fimbo yake ilibeba ushirikina, hakuna kingine. Sema usemayo lkn ile fimbo haikuwa "political insignia" bali uchawi.
9. Unazijua sababu za Chrisant Majiyatanga Mzendakaya kupitia bila kupingwa tangu 1975 mpk alipoamua kumuachia Jimbo mkwewe?? Ilikuwa mtu akijaribu kuchukua fomu tu, kesho yake anakuwa kichaa. Nenda mkoa wa Rukwa utapewa hii stori, kama ni mpya kwako.
10. Kikwete akiwa rais, alikuwa kila anapotaka kukwea pipa, mtu wa mwisho kushikana naye mkono ni mtoto wa shekhe Ramia. Unalijua hilo? Unajua sababu zake?
N.B. Kama wanasiasa wanabisha, tuendeshe clinic ya kukagua chale makalioni mwao.
UPDATES:
Nimetoa mifano ya wanasiasa kwasbb Makonda ni mwanasiasa. Lkn ukweli ni kwamba watanzania wengi ni washirikina.
1. Soko la Mwanjelwa lilipokuwa linaungua wamiliki wa maduka walikuwa wanapambaa kuokoa paka (a.k.a nyau) badala ya maboksi ya hela zao.
2. Pale Kitumbini DSM wakinga wanakimbiwa na wanazidi kubakia wenyewe wakiogopwa kwa kuwa ni wazuri zaidi kwa ushirikina.
3. Boda ya Tunduma ni kitu cha kawaida kabisa kusimuliwa stori za wafanyabiashara wanaojifunika sanda na kulala kwenye majeneza.
Ulozi ni Imani iliyoshamiri sana nchini.
Hivi kwa dunia ya leo kuna Mtanzania yeyote asiyejuwa kuwa wanasiasa, wabunge, vijana wa bongo fleva, wachungaji, mashehe, bongo movie kuwa si wachawi?View attachment 3175759

Fanya home work yako,siyo kila kitu utafuniwe.Nanihuyo
Mkuch!!ka . .. mdhamini wa klabu maarufu afrika ..Fanya home work yako,siyo kila kitu utafuniwe.
kwani makamo mwenyekigoda aliyesimikwa juzi ana miaka mingapi?