Wanasheria wa lady JD wamtaka Gardner kuomba msamaha kwa maneno yake ya kidhalilishaji

Nadhani twatakiwa tuijue sheria na mazingira ambayo yaweza kukutia hatiani,trust me wakiamua kumfungulia shitaka litamgharimu kuliko unavyodhani na walioandaa lile tamasha wasipoliweka sawa mapema hawa mabwana wakaamua kulipeleka mbele,tutakuja zungumza habari zingine humu, maana hiyo kwao ni first move,wanasubiri wajibiwe kisheria.Tatizo hatutaki angalia huyo mtoto wa kike amezungumzwa badala ya nini kutokea,sheria sio mpo kijiweni kwamba mtaangalia nini kimesemwa siku husika,bali hufatilia hata matukio kadhaa yaliyopelekea jambo kutokea hata kama ni kwa miaka kadhaa nyuma,tuwe watulivu kutazama hii sinema itaishia wapi,ila amini wakiamua kutaka sifa, kaka yetu ataumia zaidi na atajiondolea sifa zote alizonazo na ni ngumu sana kushindana na Mwanamke hasa akiwa na nguvu katika jamii yake.

Nyambori
The law stands with what can be proved not what was meant to be proved.
 
Back
Top Bottom