john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,079
Kwani ana akili? Jibu ni HANA AKILI! so hawezi kuwa na big bootsKWANI DR.MHESHIMIWA NAIBU wasupika ana sambwanda??
Kwani ana akili? Jibu ni HANA AKILI! so hawezi kuwa na big bootsKWANI DR.MHESHIMIWA NAIBU wasupika ana sambwanda??
Mwenzangu bora umeuliza maana hizi tafiti zimezidi jamani!Kwa hiyo gigi money ana akili mno
akili zipo nyingi ata kuvua nayo n akiliMwenzangu bora umeuliza maana hizi tafiti zimezidi jamani!
Ila yapo yakutengeneza yaani yakichina. Ila matako hayaana uhusiano na brain function or akili. Niuongo.View attachment 450921 View attachment 450922
Katika utafiti mpya uliofanyika katika chuo kikuu cha Oxford cha nchini Uingereza ukiongozwa na Prof. Konstantinos Monolopous unasema kua wanawake wenye makalio makubwa wana akili kuliko wenzao wenye makalio madogo(Flat Screen).
Utafiti huo unadai kua wanawake wenye makalio makubwa wana kiwango kidogo cha mafuta mwilini(Cholestrol) na mfumo wao wa homoni ni mzuri unaosaidia kuchakata sukari vizuri hivyo kusaidia kupunguza ugonjwa wa moyo na kisukari.
Utakumbuka pia hivi karibuni Chuo kikuu cha Pittsburgh na chuo kikuu cha California vya nchini Marekani walifanya utafiti unaodai kua wanawake wenye makalio makubwa huishi maisha marefu kuliko wanawake ambao hawana.
Utafiti huo uliongeza kua wanawake wenye makalio makubwa huzaa watoto wenye akili nyingi kuliko wenzao ambao hawana, hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha mafuta kilichopo katika makalio ambayo husaidia katika makuzi na maendeleo ya ubongo wa mtoto akiwa angali tumboni.
Zaidi soma: http://elitedaily.com/news/world/big-butt-healthy-butt-study-says-women-big-butts-healthier/
Naibu redio wa bongo la jamhuri...Kumbe hana makalio makubwa ndo maana akili zake ziko vile japokuwa ni lawyer.Watu wengi hupenda kusikia kile kinacho wapendeza masikioni,
Tujiulize vipi kuhusu SEPENGA na GIGY ANKARAA wanafit huo utafiti,
Hebu turudi kwa maprofesa wa kike hapa bongo tutajie hata mmoja tu mwenye makalio makubwa,
Mwosho yule mtoto KIPANGA wa kike aliye ongoza juzi juzi ni anaflat screen.
KAJIPAMGE UJE TENA