Wanaosema ACACIA wako sahihi wamewahi kujiuliza hili swali dogo?

Usidhani nimekurupuka ndugu.
Najua average amount ya hizo bidhaa Tatu kwa Mujibu wa Muwekezaji gold 3kg, silver 3kg na copper 3,000kg au Tani 3.
Ndio maana Nimekupa kadilio la juu kupitiliza yaani 5000kg.

Haya niambie hizo kg 16994 ni nini....

Waste(non valuable material)
 
Mh mitale na midimu haya mambo yatakuumiza kichwa sana maana unayajua kwa juu juu sana.

Ila nikuelimishe tu kidogo Mkuu wangu...unapoambiwa labda grade ya dhahabu kwenye tani moja ya mchanga ni labda 2 (yaani 2g/t Au) ni kwamba ukichenjua hyo tani moja utapata gram 2 za dhahabu. Kinachobaki sio dhahabu ni madini menguine na mchanga ambao pia ni Madini au udongo.

Kwa hyo kama inasemekana tani 20 za makinikia zina hzo tani 5 za Madini unayosema kinachobaki baada ya hayo Madini kutolewa ni mchanga/uchafu ambao labda unaweza kuutumia kwa kujengea nk nk.
Mkuu nakupata kabisa ndio maana wanasema (wawekezaji) gold ni 3kg, 3kg silver copper 3 tons katika 20tons container.
Kwa Mujibu wa tume iliyofanya feasibility study kwa nini smelter isijengwe hapa miaka ya nyuma walikili kilichobaki Kuna madini mengine mengi ila yanakiwango kidogo kisichokidhi na ni mali ya smelter. Huoni kama tume ya Sasa imezama zaidi ya ushauri wa kudhani Ile ni waste...
 
Mkuu wawekezaji wao wanasema hayo Madini mengine kama Sulphur,,, Iron,,,Iridium,,tantalium,,etc are not of commercial value maana yake ni kwamba wakiingia gharama ya kuyachenjua hawatapata faida. Ni kweli team iliyoundwa kuchunguza uwezekano wa kujenga smelter hapa nchini walisema hayo Madini mengine huwa ni Mali ya smelter owner...yaani ni kama vile unaenda kukoboa mahindi ile pumba anabaki nayo Mwenye machine ya kukobolea ingawa wengine huwa wanaruhusu kuondoka na Unga.

Tufanye nn sasa????kama kilichoelezwa na tume ni kweli 100% hatuna haja tena ya kuwa na kigugumizi cha kujenga smelter kwani hata kiasi kidogo cha copper concentrate kinachopatikana hapa nchini kitaendesha mtambo kwa faida Kabisa. Kwa hyo tufanye tu maamuzi faster.

Mbili...tunaweza kununua hayo makinikia kwa bei acacia wanayouzia huku wanakouza halafu tukaenda kuchenjua wenyewe kama ambavyo wadau wanashauri. Ila kwangu Hili itakuwa ni fedhea sana kwa nchi kama nchi..

Tatu....kwa vile kuna mikanganyiko kati ya acacia na tume kwenye kinachopatikana...jawabu ni kuunda time huru Kabisa kama walivyoshauri acacia ifanye uchunguzi tena wa hayo makinikia wakija na majibu yao tufanye ulinganisho tuone nani mkweli na nani muongo.
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?

Simba mkali lakini India watu wanamnywesha chai na anatulia. Nyie mnatumia msuli sana Kwa mambo rahisi na ya kawaida kutaka sifa.
 
Kontena moja la makinikia lina wastani wa tani 20.
Kwa jumla ya madini yaliyoma ambayo wanasema yamo yaani Copper, gold na silver japo silver zamani haikuwa wazi kwa ujumla na kwa kadilio la juu ni tani zisizozidi 5.

Kwa nini hatumuulizi huyu mtetewa hizo tani 15 ni nini?
Unaweza kuta wewe mleta mada ni graduate kabisa!
 
"Madini yaliyobaki ni machache sana na ni mali ya mchenjuaji /smelter " moja ya majibu ya watafiti wa tume ya kitanzania iliyowahi kuchunguza hiyo kitu...
Kwa akili yako kinachozungumzwa hapo ni hizo tani zilizobaki valuable minerals?Unajua kuna kitu kinaitwa quartz(SiO2)?Unajua ni mineral pia?
 
Unabishana na wawekezaji wenyewe wanasema Kuna madini japo viwango ni vidogo na ni mali ya smelter kulingana na contract yao na smelters wa Japan, China na German. Ugomvi wetu ni kuwa yako kiwango kikubwa kuliko wanavyotwka kuaminisha watu
 
Nioneshe hiyo sehemu wanayosema ni mali ya smelters!
 
Swala Siyo u sahihi wa hao jamaa bali tujiulize walioingia hiyo mikataba were they sane? What steps will be taken against them?
 
Asante sana Mkuu, ebu tupe njia sahihi za kukamata wezi wetu wa madini!
Hakuna anaebisha tunaibiwa
tunabisha hizo njia za kuwakamata sio sahihi

Kingine tunabisha ukweli wa serikali

Serkali hii hii imeongopa sana kwenye mambo meengi
Juzi tu walisema Manji muuza dawa za kulevya
leo mtu yupo huru mtaani hata kesi moja wameshindwa kufungua

hii serikali ina sifa ya kukurupuka na kuongea uwongo...
 
Kwa akili yako kinachozungumzwa hapo ni hizo tani zilizobaki valuable minerals?Unajua kuna kitu kinaitwa quartz(SiO2)?Unajua ni mineral pia?
In general, Copper Concentrate consists of major and minor elements such as Cu, Au, Ag, Fe, S, As, Sb, Bi, Pb, Zn, Ni, Hg, Al2O3, SiO2, CaO, MgO, Mo, Ni, Se, Te, F, Cl, Sn, Cd, Ge, Co, Mn, Cr.

Anzia hapa kwanza mkuu....
 
Mkuu wawekezaji wao wanasema hayo Madini mengine kama Sulphur,,, Iron,,,Iridium,,tantalium,,etc are not of commercial value maana yake ni kwamba wakiingia gharama ya kuyachenjua hawatapata faida. Ni kweli team iliyoundwa kuchunguza uwezekano wa kujenga smelter hapa nchini walisema hayo Madini mengine huwa ni Mali ya smelter owner...yaani ni kama vile unaenda kukoboa mahindi ile pumba anabaki nayo Mwenye machine ya kukobolea ingawa wengine huwa wanaruhusu kuondoka na Unga.

Tufanye nn sasa????kama kilichoelezwa na tume ni kweli 100% hatuna haja tena ya kuwa na kigugumizi cha kujenga smelter kwani hata kiasi kidogo cha copper concentrate kinachopatikana hapa nchini kitaendesha mtambo kwa faida Kabisa. Kwa hyo tufanye tu maamuzi faster.

Mbili...tunaweza kununua hayo makinikia kwa bei acacia wanayouzia huku wanakouza halafu tukaenda kuchenjua wenyewe kama ambavyo wadau wanashauri. Ila kwangu Hili itakuwa ni fedhea sana kwa nchi kama nchi..

Tatu....kwa vile kuna mikanganyiko kati ya acacia na tume kwenye kinachopatikana...jawabu ni kuunda time huru Kabisa kama walivyoshauri acacia ifanye uchunguzi tena wa hayo makinikia wakija na majibu yao tufanye ulinganisho tuone nani mkweli na nani muongo.
Moja ya byproduct ni Platinum group metals.
Wakati sisi tunasema hivyo kuwa ni kiasi kidogo sana na hakina commercial value. Marekani Kuna mgodi unaitwa still water kazi yao ni kuchenjua hizo kitu tu kutoka kwenye makinikia. Tatizo hao waliofanya Ile study maelezo mengi waliyatoa kwa huyohuyo muwekezaji. Mkuu huoni kuwa hapo kulikuwa na haja ya detailed independent study
 
Usidhani nimekurupuka ndugu.
Najua average amount ya hizo bidhaa Tatu kwa Mujibu wa Muwekezaji gold 3kg, silver 3kg na copper 3,000kg au Tani 3.
Ndio maana Nimekupa kadilio la juu kupitiliza yaani 5000kg.

Haya niambie hizo kg 16994 ni nini....
Hivi ni mimi sikuelewi unauliza nini au ni wewe hujui unachouliza?

Kule inakochimbwa gesi kuna waste products
Kwenye mashine ya kukoboa nafaka, kuna waste products
Machinjioni akichinjwa ng'ombe kuna waste products. Sasa sijui unamaanisha kwamba leo nikienda Buzwagi na jembe nikakwatua mkwatuo mmoja basi ni full madini kwa kuwa pale kuna madini tu hakuna hata vumbi?

Hivi, si ni juzi juzi tu hapa ilitolewa amri kwamba haya haya makinikia kwenye mgodi fulani yatolewe nje wananchi wachambue na kuokota watakachoona kinawafaa? Sasa mbona wasipewe kwanye kiroba kila mtu furushi kama kila kilichomo humo kina faida?
 
Back
Top Bottom