Wanaosali Jumuiya vs wacheza pool table, kuna tofauti?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Hivi hatuwezi kuishi pasipo kuwa na huu utaratibu wa kusali kwa jumuiya huku mitaani.Kusali makanisani hakutoshi mpaka tukutane kwenye majumba yetu siku za week-end na hata kila siku kwa baadhi ya maeneo kwa lengo tu la kusali kwa utaratibu huu wa Jumuiya?

Wanaocheza pool table wanatakiwa kukamatwa kwani wanapoteza muda wa kufanya kazi,je hawa wanaokutana saa 12 kila Jumamosi na kwa baadhi ya maeneo nasikia ni kila siku,huku si kupoteza muda wa kufanya kazi?

Hivi lengo la kusali Jumuiya si kukusanya sadaka tu?Nini kipya kinachofanyika katika hizi Jumuiya tofauti na makanisani kwetu?

Alafu hivi mtu unawezaje kushiriki kwenye Jumuiya hizi lakini ukashindwa kushiriki mikutano ya kijiji/mtaa kwa maendeleo ya kijiji/mtaa wako?

Kama hizi Jumuiya ni muhimu sana,kwanini adhabu hizi za kijamii tunazozitoa kwa watu wasioshiriki Jumuiya hizi pia tusizitoe kwa wale wasioshiriki mikutano ya maendeleo ya mitaa au vijiji vyetu kwani hata hii mikutano nayo ni muhimu pia?

Nyinyi mnaotetea Jumuiya hizi niambieni ni lini mlikutana katika Jumuiya zenu hizi na kisha mkaongozana huku mkiwa mbeba sadaka zenu na kwenda kuwahudumia wagonjwa au makelekezo sadaka zenu hizo kuhudumia yatima?

Utaratibu huu nimeuona hapa Dar leo hii nikakumbuka na huko mikoani hali ni hiyo hiyo hivyo nikajikuta najiuliza haya maswali.Alafu katika nchi za wenzetu mambo haya yanafanyika?Nina hakika miaka ijayo haya mambo yatakuja tu kutoweka maana sioni ulazima wake.

NB:Asante Baba Askofu Valentino Mokiwa umeweka wazi unafiki wetu katika imani kupitia mahubiri yako ya leo katika Ibada ya Kitaifa ya Pasaka iliyorushwa live TBC muda mfupi uliopita.

Mliokuwa mnatoka povu hapa mtandaoni naomba muitafue clip ya mahubiri ya Askofu itawasaidia kujua kwanini nasema sisi ni wanafiki sana katika swala zima la imani.
 
Kwa akili hizi...ndipo linapokuja kuhitimishwa suala la luwasa ni asset au liability?..tokea kaingia huku akili zimeruka...hakika mbowe huku ndiko unataka bavicha na chadema ielekee...nilikuonya kwamba kuwatoa akili vijana kutawafanya wawe misukule...na sasa tunashuhudia mmomonyoko wa fikra kuanzia July,2015 umekuwa mkubwa chadema...Dr.Slaa tunakumbuka fikra na ueledi wako!
 
Ficha upumbavu wako, umeishasema wanaenda KUSALI. Kwani kwa upimbi wako unafikiri kusali maana yake nini?

Hizo shule za kata mnazosoma hawafundishi Sociology? Ungekuwa na akili kidogo tu ungeelewa kuwa pengine hao waliosali asubuhi jumuia baadhi yao ni wacheza pool. Upumbavu wako unakufanya udhanie mcheza pool hawezi kusali jumuia au kwenda kwenye ibada. Sijawahi ona post ya kipuuzi kama hii toka nimejiunga JF
 

Heri tumbo la mama tasa kuliko tumbo lililokuzaa wewe

Wewe ni hasara kwa wazazi wako, taifa na kizazi chote cha dunia.
 
Mkuu bangi zimekukataa, jaribu kitu kingine
Huo muda wa kila-week end kukutana nyumbani kwa mtu ni bora tungetenga na muda wa aina hiyo tukutane katika mitaa yetu kwa shughuli za kiuchumi au kupanga mipango ya kimaendeleo katika mitaa yetu.
 
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.

Narudia tena, suala la ibada ni suala binafsi la wahusika wenye imani yao, ndivyo Katiba ya nchi inavyosema. Mkuu kwa hili umechemsha mbaya.
 
Heri tumbo la mama tasa kuliko tumbo lililokuzaa wewe

Wewe ni hasara kwa wazazi wako, taifa na kizazi chote cha dunia.
Niambienii kuna nini cha maana tunacho-achieve kama jamiii ambacho bila kukaa katija hizo Jumuiya kingeshindikana?

Nijibuni sio kutoka povu.
 
Mikutano ya mitaa/vijiji hamshiriki ila Jumuiya ndio muhimu zaidi huku kila siku tukilia umasikini.Tutafika?Kwanini hizi Jumuiya zisifanywe kimtaa wala mara moja kwa wiki kuliko kuzunguka nyumba hadi nyumba kila week-end?Tujali muda.
Kijana baada ya Jumuiya uende kufagia...leo ni siku ya usafi.
 
Madhara ya ZUNGUSHA MIKONO na KUIMBISHWA MABADILIKO FEKI yameanza kuonekana ....kama ilivyo kwa chama chako ...Magufuli kawafunga midomo na sasa hamna ajenda ya kuongelea!
Kwa sasa chadema ni wodi ya vichaa...huyu ni mmoja wa waandamizi idara ya habari...na ameandika hivi kwa agizo la mwenyekiti taifa kulaani vijana kuzuiwa kucheza pool asubuhi...je kwa akili hii chama kinaelekea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…