Kelela Senior Member Nov 7, 2020 190 305 Dec 15, 2020 #21 Hii biashara wala haihitaji mtaji mkubwa hata kwa elfu 20 unaanza kama ndio hivyo
Joseph lebai JF-Expert Member Jul 19, 2017 8,452 8,654 Dec 15, 2020 #22 Labda kama huna mda, nenda mwenyewe BOT hukatwi hata senti. Ukimuuzia anakuona kama zuzu fulani hivi! Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Labda kama huna mda, nenda mwenyewe BOT hukatwi hata senti. Ukimuuzia anakuona kama zuzu fulani hivi! Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app