Prince leonny
Senior Member
- Aug 31, 2017
- 102
- 89
Tanzania kuna vitu hatuvielewi kwanza dah ingekuwa vituo vya kura vipo JF na isnta& fb basi tungepata watu wa ajabu sana ila sasa vituo vya uchaguzi vipo kijijini tena mashuleni tulikokuwa tunatolewa ujinga kuna makundi ambayo hupaswi kuyategemea katika uchaguzi au kisiasa
1: Boda boda ni wazuri sana kukusuport na kukupigia honi na kukupatia msafara mrefu na wametundika bendera kwenye pikipiki zao ila wakati wa kupiga kura 75% hawaendi kushiriki hawna muda wa kupanga foleni
2: Vijana ambao ndio wanachipukia 18-25 kuna baadhi walikuwa hawana vigezo vya kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura kwa kigezo cha umri na kuna baadhi hawana vitambulisho aidha kwa kuvivunja au kupoteza na ndio wenye kelele sana na washabiki wakufa mtu na hawa ndio huongeza nyomi na shangwe nyingi upigaji wa kura ni85% hupotea na ndio wenye fujo
3: Kundi baya kuliko ni hili hapa mitandao ya kijamii hawa ni wengi sana na wapiga porojo sana ni sawa na mbwa anaebweka sana ila ukimtishia kidgo anaenda kujificha hadi uvunguni ndio hao wanaosubiria vituo vya kura jf,fb na inst n.k
4: Kundi la wapigaji kura sasa 25---------100 hawa ni wale ambao ndio washiriki wa kupiga kura na huwa wanaondoka na kwenda kufanya shughuli nyingine hasa 40yrs na kuendelea sasa kama unafanyia siasa za mtandaoni subiri jua litokee magharibi kwenda mashariki