Uchaguzi 2025 Wanaodaiwa kuwa ni polisi Dodoma wafanya upekuzi nyumba ya Honesty Msacky Mwanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
351
669
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.

Akizungumza baada ya upekuzi huo nyumbani kwake Msacky amesema watu walifika nyumbani kwake saa 12:00 na kuanza kugonga geti huku wakimuita jina la Baba Glory ambalo halifahamu.

EATV.png

"Baada ya kuingia getini wakalazimisha nimuite balozi hali ambayo niliwagomea na kuwaambia sina balozi kwani yeye ni mwanachama wa Chadema hivyo baada ya hapo wakaingia ndani na kuanza upekuzi usio na ustarabu," amesema Honesty.

Soma pia: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

Hata hivyo Msacky amesema anaamini kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa zipo hujuma mbalimbali za kisiasa za kuchafuana ili chama chake kisifanye vizuri huku Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Anania Amo akisema hana taarifa na tukio hilo.

Chanzo: EATV
 
Kuna wakati unatamani uingie siasa za vyama vya upinzani ila story kama hizo zinakatisha tamaa, naamini watu wenye "heshima" au "waoga" hata kama wana nia kuwepo ktk kundi hilo ili badae waingie kugombea nafasi za uwakilishi inakuwa ngumu..wakiogopa hekaheka na mapolice au usalama. Ukiwa ccm haaa safi kabisa. Ndio mana ilipaswa ishu ya mgombea binafsi ngazi zote za uchaguzi iwekwe sawa pengine tungepata watu fulani makini.
 
..hata wagombea binafsi ambao ni tishio kwa Ccm wangesumbuliwa na kutiwa misukosuko. Na hao ndio wangekuwa na wakati mgumu zaidi kwasababu hawana chama au wanaharakati wa kuwatetea au kupaza sauti wanaposhughulikiwa na Polisi.
 
Kweli aisee....
 
Kweli aisee....

..suluhisho ni kukubali demokrasia.

..tuwe na mfumo unaotoa haki kwa kila mtu.

..ukatili na ubabe unaoendelea ni kwa manufaa ya watu wachache ndani ya Ccm.

..kuna kundi kubwa ndani ya Ccm na nje ambalo halihusiki, na halifaidiki kwa namna yoyote na yanayotokea.

..sasa kundi hilo kubwa linapaswa kupaza sauti dhidi ya kundi dogo linaloichafua Ccm.

..Watanzania bila kujali vyama tunapaswa kupinga ukatili, unyanyasaji, na mauaji, ktk siasa za nchi yetu.
 
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial ) Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.

Akizungumza baada ya upekuzi huo nyumbani kwake Msacky amesema watu walifika nyumbani kwake saa 12:00 na kuanza kugonga geti huku wakimuita jina la Baba Glory ambalo halifahamu.

"Baada ya kuingia getini wakalazimisha nimuite balozi hali ambayo niliwagomea na kuwaambia sina balozi kwani yeye ni mwanachama wa Chadema hivyo baada ya hapo wakaingia ndani na kuanza upekuzi usio na ustarabu," amesema Honesty.

Hata hivyo Msacky amesema anaamini kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa zipo hujuma mbalimbali za kisiasa za kuchafuana ili chama chake kisifanye vizuri huku Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Anania Amo akisema hana taarifa na tukio hilo.

Screenshot_20241028-171830.jpg
 
Huyu atakuwa gaidi ndiyo maana wamemshtukia aache uhuni atoe ushirikiano yaani yeye hana balozi anaishije kwenye mtaa wenye balozi huyo aiyepo ndyo balzi wake
Acha mihemko na uchawa! Huyo balozi alichaguliwa na nani wakati ni uhuni TU wa maccm!
 
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial ) Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.

Akizungumza baada ya upekuzi huo nyumbani kwake Msacky amesema watu walifika nyumbani kwake saa 12:00 na kuanza kugonga geti huku wakimuita jina la Baba Glory ambalo halifahamu.

"Baada ya kuingia getini wakalazimisha nimuite balozi hali ambayo niliwagomea na kuwaambia sina balozi kwani yeye ni mwanachama wa Chadema hivyo baada ya hapo wakaingia ndani na kuanza upekuzi usio na ustarabu," amesema Honesty.

Hata hivyo Msacky amesema anaamini kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa zipo hujuma mbalimbali za kisiasa za kuchafuana ili chama chake kisifanye vizuri huku Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Anania Amo akisema hana taarifa na tukio hilo.

View attachment 3137411
Hii nchi kila kitu bora liende!
 
Watu wanaodaiwa kuwa ni Askari wa Jeshi Polisi mkoa wa Dodoma wamefanya upekuzi katika nyumba ya mwanachama na kigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Honesty Msacky nyumbani kwake Nzuguni B kwa madai ya kuwa anamiliki silaha kinyume na taratibu za nchi.

Akizungumza baada ya upekuzi huo nyumbani kwake Msacky amesema watu walifika nyumbani kwake saa 12:00 na kuanza kugonga geti huku wakimuita jina la Baba Glory ambalo halifahamu.

"Baada ya kuingia getini wakalazimisha nimuite balozi hali ambayo niliwagomea na kuwaambia sina balozi kwani yeye ni mwanachama wa Chadema hivyo baada ya hapo wakaingia ndani na kuanza upekuzi usio na ustarabu," amesema Honesty.

Soma pia: Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface, hapa Msakuzi kwa ajili ya upekuzi

Hata hivyo Msacky amesema anaamini kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa zipo hujuma mbalimbali za kisiasa za kuchafuana ili chama chake kisifanye vizuri huku Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Anania Amo akisema hana taarifa na tukio hilo.

Chanzo: EATV
POLE YAKE
 
Mzee mbowe hatari ,hadi nje ya Machame ni ndugu zake aisee
 
Back
Top Bottom