Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,849
Mke na mume hawapaswi kubadili mazingira ya kunyanduana wanapotoana outing?Ndiyo. Hawana mabegi ya safari. Wana ndomu tu mifukoni ama kwenye pochi zao. Hao ni malaya.
Mke na mume hawapaswi kubadili mazingira ya kunyanduana wanapotoana outing?Ndiyo. Hawana mabegi ya safari. Wana ndomu tu mifukoni ama kwenye pochi zao. Hao ni malaya.
Safi kabisa, imagine mtu katoka Mwanza na mchepuko kaja Dar kuuza ng'ombe usiku kaenda kulala guest Mara ghafla anaamshwa na mabuti na virungu na kamera zinammulika anawekwa YouTube eti yuko na kahaba hii si sawa, ni ukiukwaji wa haki bora wakamate madada poa road na sio guest ndani kama wanavyofanya sinza. Huyu DC hafaiLengo la biashara za guest na lodge ni kupata nini? Wateja wanapoongozana kuingia ndani ya hizo guest na lodge wana alama yoyote kwamba ni malaya? Unatumia b.hange wewe?
Shika, peleka jela ili kusudi wakajifunze kuheshimu gesti (kwa sauti ya Magufuli).Mke na mume hawapaswi kubadili mazingira ya kunyanduana wanapotoana outing?
Ukiona hivyo mwisho hakuna kuna mwanzo tu!Discussions za hii biashara zinanishinda kabisa, hazina muelekeo wa kulenga kuimaliza kabisa hii biashara. Mwisho wake hauonekani kabisa
Kutokana na upungufu wa kodi, waifanye rasmi kama Thailand tu, watu wapige sex tourism na rasmi Dsm igeuke kuwa jiji la laana.Ukiona hivyo mwisho hakuna kuna mwanzo tu!
Ni kweli. Hivi sasa wamebuni mbinu ya kuzunguka na masinia ya karanga. Wanapata wateja kuliko walivyokuwa wakijipanga barabarani. Binadamu ni hatari anapotaka jambo lake.Shida ni umaskini, ukiona mwanamke ambae anauza mwili wake halafu sio teja.
Hadi kufikia hatua hiyo maana yake maisha yamempiga hana namna nyingine.
Kwenda kuangaika na watu maskini bila ya kuwa na mbinu za kuwasaidia ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hakuna mwanamke anaeuza mwili wake bure bure bila ya njaa. Kama nyege wana mbinu zao za kutega.
Samia atakusanya hela mpk aache kwenda nje kukopa.Kutokana na upungufu wa kodi, waifanye rasmi kama Thailand tu, watu wapige sex tourism na rasmi Dsm igeuke kuwa jiji la laana.
Prostitution is the oldest trade in the world.Ni kweli. Hivi sasa wamebuni mbinu ya kuzunguka na masinia ya karanga. Wanapata wateja kuliko walivyokuwa wakijipanga barabarani. Binadamu ni hatari anapotaka jambo lake.
Serikali haikwepi lawama ktk hili. Badala ya kuwekeza nguvu kwenye kuwakamata makahaba, serikali yapaswa kutimiza wajibu wake wa msingi wa kutengeneza fursa za ajira.Prostitution is the oldest trade in the world.
Serikali ina kila sababu ya kuzuia hiyo biashara isiwe holela ivyo.. Iła shida kubwa ni umaskini.
Nimewahi kuishi kwenye nyumba na wanawake wanaojiuza (sipendi kutumia neno Malaya) na kuona msukumo wa baadhi yao hadi kuamua kwenda kuuza miili yao.
Kuna mmoja nilikuwa namjua toka mrembo, anakuwa mteja. mpaka ananyan’ganywa mtoto na social services (miaka hiyo naishi nje ya nchi).
Ndio maana nasema ukiona mwanamke anauza mwili hujui changamoto zake. Iła wapo pie wenye tamaa tu kupenda slope.
Kabisa 100%Serikali haikwepi lawama ktk hili. Badala ya kuwekeza nguvu kwenye kuwakamata makahaba, serikali yapaswa kutimiza wajibu wake wa msingi wa kutengeneza fursa za ajira.
Baa nyingi Dar unampa Meneja shs 10000 unaondoka na muhudumu.Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Wivu tu, anayeuza anapata ela ya kujikimu, anayenunua anapata satisfaction, maisha yanaendaKatika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Kwani ukahana ni shida , ukiwa na maadili utajiepusha na baadhi ya watu, sehemu n.k.Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Inawaingiza kodi na pato kwa taifaKwa nini serikali inaruhusu pombe, kamari na sigara?
Kwani hii biashara ikifanyika katika mazingira sahihi na rafiki inawapa shida gani? Hii nchi inatakiwa kuwekeza nguvu nyingi sana kupambana na umaskini, maradhi na ujinga. Inatakiwa kuwa na nia dhairi ya kupambana na maadui wapya wawili nchi hii; mchwa na chawa, hawa maadui wawili haswa huyo wa kwanza ni hatari kwa ustawi wa nchi yetu. Biashara ya ukahaba tunaikuza wenyewe kwa kutumia makamera na media coverage zisizoisha.Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.