Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,329
- 9,644
Maendeleo endelevu ndio yatazidisha ukahaba na umalaya kama Marekani na Ulaya.Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Serikali inapaswa kudeal na wamiliki wa Bar, pub na guest house zilizo karibu na maeneo wanayo panga msitari. Dada poa hawawezi kumpeleka mteja mbali na hizo guest house.Ndio tatizo la kuja mjini ukubwani.
KAZI ni kipimo cha UTU
Serikali ikiendelea kukamata dada poa biashara ya ukahaba haiwezi kwishaMsiigeuze nchi yetu Iran ya Ma-Ayatollah au Afghanistan ya Taliban
Kwa nini serikali inaruhusu pombe, kamari na sigara?Serikali ikiendelea kukamata dada poa biashara ya ukahaba haiwezi kwisha
Umenichangnya kabisa hapa Meneja Wa Makampuni . Heading yako inasema "wanaojiuza Dar, siyo wale wanaojipanga mstari barabarani kujiuza".Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.Kwa nini serikali inaruhusu pombe, kamari na sigara?
Ni kweli mkuu hiyo code niliyo tumia ni nimeificha. Ngoja niiweke wazi. Wenye pub na bar wanafanya biashara ya guest house. Chumba kimoja wanapata pesa nyingi sana kupitia hao dada poa. Kwa navy jua chumba kimoja kinatumiwa na dada poa 10. Kuanzia muda wao wa kazi mpaka kutakapo kucha. Hivyo basi hao wenye guest house wanapenda hao dada poa waendelee kuwepo pale ili wao wajipatie pesa.Umenichangnya kabisa hapa Meneja Wa Makampuni . Heading yako inasema "wanaojiuza Dar, siyo wale wanaojipanga mstari barabarani kujiuza".
Kumbe hao wanaojipanga kujiuza wanauza nini?
Halafu unasema utafiti wako umebaini kuwa wanaojihusisha na biashara hii ni wamiliki wa baa, pub, gesti n.k. Kwahiyo hao wamiliki ndiyo wanaojiuza?
Mm nadhani hao wamiliki wameweka mazingira wezeshi tu, kwamba mteja na muuzaji wapate starehe bila usumbufu.
Kipi kikiondolewa ukahaba utakoma? Ukiondoa bar na pub, malaya watatoa k hata vichakani na mtaroni.
Maji hamna mnahangaika na makahaba! Viongozi Wana low IQ sana!Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Dawa sahihi ya kupambana ukahaba sio kuwakamata na kuwapeleka lock up dawa na kuwapa ajira miradi we unafikili nani anataka akaliwe na li mtu ambalo hata halijui.Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za wageni zilizo karibu na maeneo ambayo wadada hao wanajipanga.
Viongozi wa Tanzania wanapaswa kuelewa kwamba, ili kupambana na biashara ya ukahaba, ni muhimu kulenga mizizi ya tatizo. Hii inajumuisha kudhibiti na kusimamia kwa karibu shughuli za baa, pub, na nyumba za wageni zinazoshiriki au kuhusishwa na biashara hii. Aidha, ni muhimu kuwekeza katika fursa za ajira na elimu kwa wanawake ili waweze kujitengenezea maisha bora zaidi bila kujihusisha na shughuli za ukahaba.
Kupitia hatua hizi, Tanzania inaweza kupiga hatua kubwa katika kudhibiti biashara ya ukahaba na kuleta maendeleo endelevu kwa jamii nzima.
Serikali ina wizara nyingi na kila wizara ina majukumu yake. Swala la maji ni la wizara ya maji.Maji hamna mnahangaika na makahaba! Viongozi Wana low IQ sana!
Lengo la biashara za guest na lodge ni kupata nini? Wateja wanapoongozana kuingia ndani ya hizo guest na lodge wana alama yoyote kwamba ni malaya? Unatumia b.hange wewe?Serikali inatakiwa kuwakamata wenye guest house zilizo jirani na maeneo wanao jiuza makahaba hao ndio wanaweza kuwafukuza hao dada poa maeneo hayo. Hao dada poa hawafanyii barabarani wanafanyia guest house. Chumba kimoja wanafanya watu 10. Wenye guest house wanapata pesa kupitia hao dada poa.
Ok sawa. Lkn pia kwa kuongezeka tu, serikali ipige marufuku gesti zinazoendesha huduma ijulikanayo kama "short time". Mteja anapewa chumba kwa masaa 3 tu. Mpaka jioni chumba kinaingiza wateja tofauti 8-10Ni kweli mkuu hiyo code niliyo tumia ni nimeificha. Ngoja niiweke wazi. Wenye pub na bar wanafanya biashara ya guest house. Chumba kimoja wanapata pesa nyingi sana kupitia hao dada poa. Kwa navy jua chumba kimoja kinatumiwa na dada poa 10. Kuanzia muda wao wa kazi mpaka kutakapo kucha. Hivyo basi hao wenye guest house wanapenda hao dada poa waendelee kuwepo pale ili wao wajipatie pesa.
Lakini pia kujiunga na hiyo kazi lazima dada poa aombe kwa hao hao wamiliki wa hizo pub, guest na Bar ili apewe funguo ya chumba atakachotumia. Na hiyo nafasi haitolewi kirahisi.
Ndiyo. Hawana mabegi ya safari. Wana ndomu tu mifukoni ama kwenye pochi zao. Hao ni malaya.Lengo la biashara za guest na lodge ni kupata nini? Wateja wanapoongozana kuingia ndani ya hizo guest na lodge wana alama yoyote kwamba ni malaya? Unatumia b.hange wewe?