REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,642
- 9,866
Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao wanajukumu la kusikiliza kero zao nakuzitafutia ufumbuzi au wanaenda hawasikilizwi je kuna haja tena kuwepo na hao viongozi maeneo hayo ambayo wanainchi wana kero ila wanakimbilia kwa makonda kiukweli inafikilisha sana tena sana