WanaJF mliochangia uzi wangu kuhusu Ujenzi wa Coco Beach, Rais Magufuli amekisikia kilio chenu kuhusu Sh. 14 Bilioni

Nayasema Haya Hata Mkeo Asikie Kuwa Uwe Unachangamka Hata Kule Kwingine Nadhani Ndugu Zangu Mnaona Ugumu Wa Kuteua Na Kutengua
 
Utendaji kazi katika serikali hii ya jiwe ni ngumu sana, miradi yote ya halmashauri inasimamiwa na madiwani chini ya meya na mkurugenzi wa halmashauri ukiona imetengwa Bilioni 14,5

Wa kulaumiwa ni madiwani pamoja na meya
Sasa hapa kwa nini lawama zote apewe bashite badala ya meya na madiwani wenzake

Mradi wa Mto Msimbazi umekwama tatizo sio bashite ni madiwani wa Ilala wamekwamisha mradi lawama kwa bashite

Vingunguti ni mradi wa halmashauri chini ya madiwani ndio waliopanga bajeti b 12. 5
Lawama anapewa bashite

Ushauri bashite ajiandae kung'oka mshale unatafuta pa kutua.

Mradi wa Vingunguti na Coco Beach madiwani wanamponza Bashite.

Kuna harufu ya upigaji live bila chenga..
 
MUNGU IBARIKI JAMIIFORUMS, MUNGU WABARIKI WOTE WANOTOA MICHANGO YA DHATI YENYE KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA NCHI YETU. MUNGU AWALAANI WALE WOTE WANAOKESHA USIKU NA MCHANA KUIPIGA VITA JAMIIFORUMS WAKATI NA WAO NI WANACHAMA WENZETU. AMEN.
 
Utendaji kazi katika serikali hii ya jiwe ni ngumu sana, miradi yote ya halmashauri inasimamiwa na madiwani chini ya meya na mkurugenzi wa halmashauri ukiona imetengwa B, 14,5
Wa kulaumiwa ni madiwani pamoja na meya
Sasa hapa kwa nini lawama zote apewe bashite badala ya meya na madiwani wenzake

Mradi wa Mto Msimbazi umekwama tatizo sio bashite ni madiwani wa Ilala wamekwamisha mradi lawama kwa bashite

Vingunguti ni mradi wa halmashauri chini ya madiwani ndio waliopanga bajeti b 12. 5
Lawama anapewa bashite

Ushauri bashite ajiandae kung'oka mshale unatafuta pa kutua..
Mradi wa Vingunguti na Coco Beach madiwani wanamponza bashite
Kuna harufu ya upigaji live bila chenga..
Basi humfahamu Bashite vizuri. Kwa taarifa yako Meya wa Kinondoni Benjamin Sitta ndiye alimtambulisha kwa Samuel Sitta. Hawa wawili walisoma pamoja chuo cha uvuvi. Na nadhani unajua kabisa kuwa Samuel Sitta ndiye aliyemlea, kusomesha na kimpromote UVCCM huyu Bashite.

Uhusiano wa Bashite na Benjamin Sitta inawezekana ili influence na Benjamin Sitta kuwa Diwani na hatimaye Meya wa Kinondoni. Watu wengi wamepata uteuzi wa JPM kwa influence ya Bashite

Pili Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Aron Kugurumjuli ni Best Man wa Bashite wakati Bashite alikuwa anaoa. Na ni Bashite aliyehakikisha anakuwa Municipal Director wa Kinondoni kwa kumpigia debe kwa Jiwe. Na ndiye huyu aliyetumika kuwanyima barua wasimamizi wa uchaguzi mdogo mwaka 2017 na kusababisha mauji ya Akwilina.

Uki connect dots utamkuta tu Bashite kwenye zabuni za miradi yote miwili ya machinjio na Coco Beach.
 
OK, kwa hiyo kikao cha madiwani kupanga bajeti ya bilioni 14. 5 bashite ndio kawapangia iwe hivyo akiwemo halima mdee

Na ule mradi wa Mto Msimbazi bashite ndio anaukwamisha?

Machinjio ya Vingunguti billion 12.5 nayo amepanga bashite basi madiwani wote wa ukawa ni mizigo
 
Duh!
 
Vita ya ufisadi haitaki itikadi kiongozi!

Kwa namna Rais Magufuli alivyoielezea sintofahamu ya Coco beach leo, ni wazi kabisa rushwa ndani ya CCM imeota mizizi na hili halina ubishi.

Tumemfurusha Manji Coco beach lakini mambo ni yale yale!
 
OK, kwa hiyo kikao cha madiwani kupanga bajeti ya bilioni 14. 5 bashite ndio kawapangia iwe hivyo akiwemo halima mdee

Na ule mradi wa Mto Msimbazi bashite ndio anaukwamisha?

Machinjio ya Vingunguti billion 12.5 nayo amepanga bashite basi madiwani wote wa ukawa ni mizigo
Haya kesho asubuhi nenda ukakinge Tsh 7,000 kwa Joan. Maana ndiyo ajira yenu kuingia mitandao ya jamii kumtetea Bashite kwa malipo hayo.
 
hizo ni fikra za mtu mufilisi
Kosa la bashite ni nini?

Na jiwe wakati anasaini bil 14. 5 zitoke adhina ziende kwenye miradi ya Coco Beach na bil 12.5 vingunguti alikuwa ajui anasaini nn?

Leteni hoja sio mihemko ya uccm na uchadema ili ni jukwaa huru..
 
UJUE MTI WENYE MATUNDA NDIYO HURUSHWA MAWE, AU MBWA ANAYETEMBEA NDIYO HUTUPIWA JIWE. KWAHIYO HAO WAFA MAJI WASIKUZUIE KUCHAPA KAZI
 
Back
Top Bottom