Wanajeshi wa Tanzania (JWTZ) wazuiwa kupita Rwanda

Wabongo wachokozi sana, hivi mnatafuta sana vita na hawa Warwanda lakini hamuelewi tofauti ipo kubwa sana na vita vya Kagera. Kipindi kile Waganda walihusika pakubwa kumuondoa Amin maana hawakumtaka, pamoja na hata Libya ilisaidia sana. Lakini Warwanda ni tofauti, wao wapo tayari kufia nchi yao na kwa kweli watawapiga viwembe nyie.
CC: kadoda11
 
Last edited by a moderator:

Hakuna tofauti yoyote kwasababu Rwanda napo kuna waasi kama walivokua wakina mu7 enzi za amin,na sio hvyo tu,waHUTU hawamtaki kabsa Kagame ila tu hawana pakuanzia..
 
Last edited by a moderator:
Wabongo wachokozi sana, hivi mnatafuta sana vita na hawa Warwanda lakini hamuelewi tofauti ipo kubwa sana na vita vya Kagera. Kipindi kile Waganda walihusika pakubwa kumuondoa Amin maana hawakumtaka, pamoja na hata Libya ilisaidia sana. Lakini Warwanda ni tofauti, wao wapo tayari kufia nchi yao na kwa kweli watawapiga viwembe nyie.
CC: kadoda11

yani kupita tu ndio iwe nongwa? hao wanaogopa tu kusema wanaona uchungu, ripoti ya UN imebainisha kuwa wanajeshi wetu walikuwa wanapigana na wanajeshi wa Rwanda (M23). Kama suala ni kupita tu mbona kwetu wanapita?

[h=3]WANAJESHI WA RWANDA WATEKWA KAGERA [/h]
 
Tanzania ninayoifahamu haina uchokozi hata kidogo. Kupita tu ndio uchokozi?

Kagame bwana imefikia anaogopa hata kivuli chake!

kagame anaona uchungu kwa kuwa M23 ni askari wake, yeye anajua na wanajeshi wa TZ wanajua.
 
Kagame again???

Jk anamchekea sana huyu PAKA, ingekua enzi za mwalimu vijana wa kutosha wangekua washa infiltrate pale Kigali wanampa jampa jampa

Ingekuwa enzi ya MWALIMU wala uhasama huu usingetokea kwani ideology ya Kagame inashabihiana sana na ile ya Mwalimu ya kujitegemea na sio kuwa omba omba; maendeleo ni ya watu na sio kuwa na msululu wa magari ya mitumba barabarani na kusema kuwa hizo foleni za hiyo mitumba ndio maendeleo!!
 
Serikali -ya -Rwanda -imedaiwa -kuwazuia -kupita -nchini -humo -baadhi -ya -askari -wa -jeshi -la -wananchi -wa -Tanzania -(JWTZ) -waliotoka -kukisambaratisha -kikundi -cha -waasi -wa -M23 -kilichokuwa -Jamhuri -ya -Kimokrasia -ya -Kongo -(DRC) .....

Kwa -mujibu -wa -chanzo -chetu -cha -habari -kilichozungumza -jana -na -MTANZANIA -Jumatatu -kimedai -wanajeshi -hao -walitakiwa -kuanza -safari -leo -kuja -nchini -kupitia -Rwanda -lakini -walizuiliwa -bila -sababu -za -msingi.

Chanzo -hicho -kilisema: "Hali -ya -usalama -kati -ya -Tanzania -na -Rwanda -sio -nzuri -hata -kidogo,Wanajeshi -waliomaliza -majukumu -yao -nchini -Kongo -walikuwa -waanze -safari -yao -kurudi -Tanzania -kesho ( leo ) -kwa -kupitia -Rwanda, lakini -katika -hali -isiyo -ya -kawaida -Rwanda -wamekataa -kupitisha -askari -hao -nchini -mwao.

"Mungu -jalia -viongozi -wetu -hekima -na -busara -katika -kuamua -suala -hili -zito -kwa -kuwa -kama -tutaingia -katika -vita -wanaoteseka -ni -watoto, wanawake -na -wazee -ambao -hawana -uwezo -wa -kwenda -kuishi -nje -ya -nchi, sala -na -dua -zinahitajika -sana -kwa -kuwa -Mungu -ndo -kila -kitu," mwisho -wa -kunukuu

Akizungumzia -suala -hilo, msemaji -wa -JWTZ,Luteni -Kanali -Erick -Komba -alisema -hafahamu -kama -wanajeshi -hao -walikuwa -wameanza -kurejea -nyumbani, hivyo -apewe -muda -hadi -atakapofika -ofisini -leo -ndipo -atahakiki -taarifa -hizo.....

Mgogoro -wa -Tanzania -na Rwanda ulianza -kufukuta -baada-ya Rais -Kikwete -kumshauri -Rais Kagame wa -Rwanda -azungumze -na -waasi -wa -serikali -hiyo -wanaofahamika -kama -FDLR, -ambapo -Kagame -aligoma -na -kuanza -kumtolea -maneno -ya -kashifa -Rais -Kikwete.....

Hata -hivyo, hali -ilizidi -kuwa -mbaya -baada -ya -M23 -kusambaratishwa -na -JWTZ walioungana -na -wanajeshi -wengine -wa -vikosi -vya -Umoja -wa -Mataifa (MUNUSCO).

M23 -ni -kikundi -kilichodaiwa -kuundwa -na -askari -wa -makabila -ya -Rwanda, jambo -linalopingwa -vikali -na -Rais -Kagame.....

Katika -hatua -nyingine, waziri -wa -mambo -ya -nje -na -ushirikiano -wa -mataifa, Benard Membe -alikiri -kuwapo -kwa -uhusiano -mbaya -kati -ya -Tanzania -na -Rwanda.Kauli -hiyo -aliitoa -bungeni -mjini -Dodoma -hivi -karibuni -alipowasilisha -bajeti -ya -makadirio -ya -mapato -na -matumizi -ya -wizara -yake -kwa -mwaka -wa -fedha -wa -2014/ 2015.

Alisema -uhusiano -kati -ya -nchi -hizo -mbili -umekuwa -mbaya -kwa -sababu -kuu -mbili -kubwa.

"Ni -kweli -tuna -uhusiano -mbaya -na -Rwanda, kwanza -tunaogopana -kwa -kuwa -kila -upande - mmoja -ukiongea -na -hasimu -wa -mwenzake -inaonekana - kama -kuna -hujuma -inataka -kufanywa.

"Pili -kuna -watu -wanapeleka -maneno -ya -chokochoko.Pia -M23 -ni -wanamgambo -wa -Rwanda -na -kuna -ushahidi -kwamba -Rwanda -ilipeleka -wanajeshi -kuwasaidia -wakati -wa -mapigano -na -serikali -ya -DRC -yakiendelea, ushahidi -huo -upo," alisema -Membe

Tanzania -ina -historia -iliyotukuka -katika -ukombozi -wa -nchi -za -kusini -mwa -jangwa -la -Sahara -na -ndio -maana -ilichaguliwa -kuongoza -majeshi -ya -kulinda -amani -DRC

Mwaka -2008, makamanda -na -wapiganaji -wa -JWTZ -waliongoza -vikosi -vya -washirika -katika -kazi -ngumu -ya -kumng'oa -kanali -Bacar -wa -Visiwa -vya -Comoro -na -Anjouan.

Uamuzi -wa -AU -kuipa -kazi -hiyo -Tanzania -kuongoza -mapambano -hayo -haukuwa -wa -bahati -mbaya, bali -ulitokana -na -kutambua -kuwa -ni -nchi -iliyoshiriki -na -kufanikiwa -katika -vita -mbalimbali -ya -ukombozi

Rubbish

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ingekuwa enzi ya MWALIMU wala uhasama huu usingetokea kwani ideology ya Kagame inashabihiana sana na ile ya Mwalimu ya kujitegemea na sio kuwa omba omba; maendeleo ni ya watu na sio kuwa na msululu wa magari ya mitumba barabarani na kusema kuwa hizo foleni za hiyo mitumba ndio maendeleo!!

Mkuu unachanganya mambo kwani uhasama huu unatokana na maendeleo?
 
Na sisi tukiwazuia 'wasipite' sijuhi nani ataumia....te te te

Ila nao si wapite kwingine...mwenzao yuko kwenye bad mood wao wanaendelea kutonesha kidonda...

Tanzania ninayoifahamu haina uchokozi hata kidogo. Kupita tu ndio uchokozi?

Kagame bwana imefikia anaogopa hata kivuli chake!
 
Soma vizuri alichoandika wewe!

Mzee dimwit naona ushakuja, haya fuata mtiririko huu halafu onyesha exactly what your problem is

Ingekuwa enzi ya MWALIMU wala uhasama huu usingetokea kwani ideology ya Kagame inashabihiana sana na ile ya Mwalimu ya kujitegemea na sio kuwa omba omba; maendeleo ni ya watu na sio kuwa na msululu wa magari ya mitumba barabarani na kusema kuwa hizo foleni za hiyo mitumba ndio maendeleo!!

Mkuu unachanganya mambo kwani uhasama huu unatokana na maendeleo?
 
Na sisi tukiwazuia 'wasipite' sijuhi nani ataumia....te te te

Ila nao si wapite kwingine...mwenzao yuko kwenye bad mood wao wanaendelea kutonesha kidonda...

Niliwahi kusema kagame hajui JK mzaramo....Hao askari unaweza kuta wameambiwa wakiwa wanapita kati kati ya kigali wafungulie mziki wa taarab mzito, "alamba alamba aaam! mchumu tena mwaa!:) ". hahahha
 
Mzee dimwit naona ushakuja, haya fuata mtiririko huu halafu onyesha exactly what your problem is

Ngoja nikueleweshe...comment yake ni kwamba Kagame ana ideology kama ya Mwalimu. Akasema kama Mwalimu kwa upeo wake wa ki diplomasia haya ya Kikwete yasingetokea. akatoa mfano wa uelewa wa kikwete vis a vis maendeleo. huo ulikuwa ni mfano tu, kwa hiyo usichambue maneno mawili halafu ukayakuza. read between the lines dimwit.
 
Niliwahi kusema kagame hajui JK mzaramo....Hao askari unaweza kuta wameambiwa wakiwa wanapita kati kati ya kigali wafungulie mziki wa taarab mzito, "alamba alamba aaam! mchumu tena mwaa!:) ". hahahha

Now this is more like you.
 
Wabongo wachokozi sana,
hivi mnatafuta sana vita na hawa Warwanda lakini hamuelewi tofauti ipo
kubwa sana na vita vya Kagera. Kipindi kile Waganda walihusika pakubwa
kumuondoa Amin maana hawakumtaka, pamoja na hata Libya ilisaidia sana.
Lakini Warwanda ni tofauti, wao wapo tayari kufia nchi yao na kwa kweli
watawapiga viwembe nyie.
CC: kadoda11
wewe TZ sio kenya mnatwangwa al shabab wanawanyanyasa wanavyotaka kenya hamna hata hiyo historia kuingia front peke yenu
 
Last edited by a moderator:
Na ikumbukwe kuwa iliwachukua muda mrefu sana Wabongo ku-recover kiuchumi baada ya vita vya Kagera. Sasa naona mpo mnawashwa sana, munawachokonoa Wanyarwanda na Wamalawi, vikilipuka na kuwaka natumai bado mtakuwa na huu mkwara.
Nawaomba sana Wabongo mtengeneze uchumi wenu zaidi na kuendelea na maisha, uchokozi kwa kila jirani mwishowe mtabaki kilio.
 
wewe TZ sio kenya mnatwangwa al shabab wanawanyanyasa wanavyotaka kenya hamna hata hiyo historia kuingia front peke yenu

Front ipi mumeingia pekee yenu, kama ni M23 muliwashabikia kwa pamoja na jeshi la Congo na Afrika Kusini. Huko Kagera gadaffi alihusika pakubwa, soma historia ya hiyo vita vizuri bila mbwembwe. Alshabaab tumewafyonza, wamebaki kupigana vita vya mohammed kwa kuvizia daladala na mabomu.
 
Na ikumbukwe kuwa
iliwachukua muda mrefu sana Wabongo ku-recover kiuchumi baada ya vita
vya Kagera. Sasa naona mpo mnawashwa sana, munawachokonoa Wanyarwanda na
Wamalawi, vikilipuka na kuwaka natumai bado mtakuwa na huu mkwara.
Nawaomba sana Wabongo mtengeneze uchumi wenu zaidi na kuendelea na
maisha, uchokozi kwa kila jirani mwishowe mtabaki kilio.
siku zote wakenya huchukua matatizo ya TZ kama sherehe. pitia tu mitandao yenu ya kijamii utaprove
 
kagame sasa sio mzima anaogopa hata kivuri chake kigari huwa anabadili sehemu za kilala daily akuamka anaua kila anayemhisi ni adui ake
 
Kweli kila mtu na kazi yake. Jamaa wanasogelea msitu bila wasiwasi. Serikali kuwa makini na huyo dikteta Kagame. Alivyokatwa mirija yake Kongo DRC, heshima itarudi.Tutamzunguka tu hadi atie adabu.
 
Back
Top Bottom