dogman360
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 138
- 216
Hii ilikuwa Published tare20.01.2025 kwenye chaneli za Telegram za kijeshi za Urusi.
Mapicha picha tu mbona!!!!View attachment 3208612Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa."
Hii ilikuwa Published tare20.01.2025 kwenye chaneli za Telegram za kijeshi za Urusi.