Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
14,273
17,209
Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk.

Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa Blagoveshchensk. Inasemekana, kabla ya kutumwa Urusi, wanajeshi wa DPRK walipata mafunzo nchini Korea Kaskazini chini ya uangalizi wa kibinafsi wa Kim Jong-un.

North Korean Troops In Russia - Moscow 'Checkmates' The U.S. Just Like 1971 India-Pakistan War?
 
Sisi majeshi yetu tunapeleka DRC miaka yote. Bora tungepeleka askali laki moja wakapate uzoefu wa silaha za kisasa. Vita ni opportunity nzuri kujifunza mbinu mbali mbali za kivita, hata namna ya kuongoza vikosi vitani, supply chain na mengine mengi.

Tusikae tukidhani kukaa kimya ndio kuwa na amani, tutumie migogoro ya wenzetu kujifunza na kupata uzoefu. Hakuna experience nzuri jeshini kama kwenda vitani nakurudi.

Tanzania ipeleke hata Ukraine, Gaza, na Beirut.

Tuna anskari wanavyeo vikuubwa tangu wanaingia jeshini hadi wanastaafu hawajawahi kufanya kazi za kijeshi.
 
Nifuate hatua zipi ili na Mimi nikajiunge na jeshi la urusi ili kuwatandika hawa NATO?Natamani kupigana vita na niwe nawatumia picha zangu humu jamii forum namna ninavyowachakaza askari wa NATO.
 
Nenda upande wa Hezbollah ukawasaidie ndugu zetu katika Imaan. Takibiiiiir
 
Ushahidi tafadhali.
GZmADg4XwAgV_N-.jpeg
 
Sisi majeshi yetu tunapeleka DRC miaka yote. Bora tungepeleka askali laki moja wakapate uzoefu wa silaha za kisasa. Vita ni opportunity nzuri kujifunza mbinu mbali mbali za kivita, hata namna ya kuongoza vikosi vitani, supply chain na mengine mengi.

Tusikae tukidhani kukaa kimya ndio kuwa na amani, tutumie migogoro ya wenzetu kujifunza na kupata uzoefu. Hakuna experience nzuri jeshini kama kwenda vitani nakurudi.

Tanzania ipeleke hata Ukraine, Gaza, na Beirut.

Tuna anskari wanavyeo vikuubwa tangu wanaingia jeshini hadi wanastaafu hawajawahi kufanya kazi za kijeshi.
Unaota Tanzania ina askari Lebanon chini ya umoja wa mataifa siku nyingi tu wako huko
Kongo wapo ,Sudan wapo
 
Back
Top Bottom