Wanajeshi wa Israel wameandamana kumpinga Netanyahu kwa kitendo cha kumfukuza Gallants

Wnajeshi anaopinga uamuzi wa kumfukuza Gallant waziri wa Ulinzi kimewakasirisha na kuungana na wapinzani katika maandamano ya kumpinga Netanyahu hii imetokea leo Israel.
Zaidi Tazama hapa Wanajeshi Wa Israel wakiandamana
Ni tukio la jana Kuna waandamaji walifunga barabara baada ya Netanyahu kumfukuza Gallant

Mapolisi walikuja kuwatoa barabarani

Video orginal hii hapa, uliyowekaimepunguzwa ubora kwa maksudi ili iwe ngumu kujua chanzo chake na imekuwa rahisi kudanganya ni mapinduzi ya jeshi



Wajeda wanaendelea kupiga mzigo

 
sasa shida ni kupelekwa mbele vitani ama ni kuondolewa kwa waziri.

mbona mnajifariji kizembe hivi
Gallant alikuwa anapingana na Netanyahu kwa muda mrefu, hata suala la mateka, Gallant alionelea ni vyema yafanyike mazunguzo na si vita kuendelea...

Kama hao askari wanaandamana unafikiri ina maana ipi?
 
sasa shida ni kupelekwa mbele vitani ama ni kuondolewa kwa waziri.

mwanajeshi kufa kwa malaria ni fedheha, mjeda hufia vitani
Assume ni kweli kwamba moja ya sababu ya waziri kuondolewa ni kutaka Ultra Orthodox Jews nao pia wa serve jeshini, na wewe ni mwanajeshi, utakubali kila siku mnakufa wakati kuna wenzenu wanakula tu Maisha na jamii yao wote haipigani vita?
 
Usiwe unakurupuka bila research

View attachment 3145692

Hizo ni unform za mapolisi wa Israel wakiwa kwenye majukumu yao

Wanajeshi wanaendelea kupiga mzigo


View attachment 3145691
Video ya jamaa ambayo wewe umechukua Screenshot inaonesha wengi ya hao wanajeshi ama wewe unaewaita polisi wakiwa wamejificha sura zao kwa vitambaa, unaweza kutuambia ni majukumu gani hayo ambayo yanawafanya wao wajizibe sura na vitambaa?
 
Back
Top Bottom