Haha umetishaIla wanaoonekana wengi kama sio wote ni misukule ya ufipa!
Unautani Na jamaa zako Wa kuzungusha mikonoNilikuaga lini kama naenda Rombo mkuu?
Au viroba ulivyokunywa Christmas havijaisha kichwani bado?
Hahahaaa dah nimecheka sanaNa mimi nimshukuru tu, maana kwa alivyoandika unaweza kuta nimo humo hafu sijatoa shukrani siyo powa.
Kwani wewe Nyumbu!?Me cpo inakuwaje ssa mkuu?
Hahahaaa dah nimecheka sana
Kweli kabisa unapointKweli mkuu, ukute nimo ila sijajiona tu, maana jamaa amebananisha sana.
Nilikuaga lini kama naenda Rombo mkuu?
Au viroba ulivyokunywa Christmas havijaisha kichwani bado?
He mbona umeniacha na mm,basi najitakia heri mimi mwenyewe!Hasanilis,Mapunda Miyonga,Kinuni,Tabby,Anonymous,Eraldus,Madrid86,Mwangaza,Ctscan,Lukindu,Ariepower,Tanaka,Pasco,Ocampo,Kombomshana,Nifah,Mdetichiaa,Mahoza,Lyengamuhiro,Mmbu,Nzalendo,Kisiki kizito,Chikutentema,Chakii,Justinejm,Odhiambo Cairo,Monges,Shieka,Nasemanao,Freedom tomorow,Swagazetu,Kamukubazi,Super sub steve,Naclaty Auni,Lemaya92,Mfamaji,The Dealer,Mmawia,Emma,Ndetia,Chipolopolo,Richard,Mfamaji,Glorytogod,Pai,Preety,Nexus,HPLC,Super Predator,Mzinzi,Makaram,Smileagain,Werrason,Kirchoff,Copenhagen,Madam,Gisambo,TheBoss,Bona,Maishamema,Kabamaya,Gazeti,Big bro,Magode,Nngu007,Genius,Daudi Mchambazi,Arestasludovick,Saiditawani,Rosi Mayemba,Bato,Kunguni,Bosco Saronga,Loider,Chritine Ibrahim,Gwijimimi,Mdetichia,Sudia Takeita,Nicholas,Lukesam,Mwanafilosofia,Dunga Captain,Horace,Kaina,Chief Mp,Tpaul,Delevaby,Kidaya,Cdotto,Mestod,Noncommited,Tom cat,Mani,Blac Kid,Frank Gotora,Theking of Jews,Kibo10,Mkikimkiki2015,Msubhe,Msemayote,Non-Shatter,Nyanyado,Ikemefuna,Mapuma Miyogo,Kinumi,Tabby,Eraldius,Ct scan Mchina,Lukindo,Tananka,Rofejo,Mengeleni Kwetu,Paul Alex, Salaryslip na Ben saanan
Hivi mimi nimetajwa....?Hahahahaa watu wengine mna vituko sana