MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,289
- 35,992
Nchi hii ina miujiza mingi sana
Nimeona shule moja ina watoto almost wote wamepata Division One Point 7
Mtoto anayepata distinction, straight 7 As, au kwa lugha nyingine mtoto ambaye ni A material, hapaswi kuachwa kwenye darasa ambalo analiweza.
Anapaswa apelekwe kwenye darasa ambalo litampa changamoto, bila kujali umri wake.
Tunasikia kwa wenzetu, mtoto wa miaka kumi na mbili (12years old) ana shahada ya uzamivu (PhD),
Kwanini hao watoto wasirushwe madarasa, wakafanye mitihani mingine ikiwa tunajua uwezo wao ni mkubwa, kwanini mnataka watoto wenye uwezo mkubwa kufanya mitihani hafifu na dhaifu kwao?
hawa watoto waende madarasa ya juu zaidi, ikiwezekana University waka stretch ubongo wao
Vinginevyo mtuambie kwamba hao watoto wanakariri, hawana uwezo wa kiakili.