Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,768
Achana na maisha magumu ya chuo kutokana na ugumu wa pesa pia masomo yanapokua magumu wengi hugawa utamu kwa Malecturer zao ili waongozewe marks pia na kuuza uroda ili wapate pesa.
Pia wengi hutoka kwenye familia huwa wanabanwa sana na wazazi na sekondari wanachapwa ila chuo wanajiachia tuu wengine wanapanga na hakuna kuchungwa kokote pia na utandawazi unachangia na kuingia kwenye ukubwa pia ni sababu.
Kwa asilimia kubwa wanachuo wanaongoza kwa UKIMWI hasa wanawake.
Najua wengi wenu huku mmeshawatumia sana na ni mashahidi so nashauri watu wajifunze kitu hapa wale wasiokua wanajua haya mambo msije kulia baadae.
Ni kwa vyuo vyote Tanzania na dunia kwa ujumla ushahidi mnao kuweni makini ndugu UKIMWI upo japo unaua/hauui changanua hapo.
Je wanalipia ushuru kutokana na biashara yao hii? Na vipi huwapatia wateja risiti za ki electronics?