Wanafunzi kusahihishiana mitihani shule ya msingi Kimandafu

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
5,091
7,510
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
 
Mambo ya kawaida hayo katika utendaji wa kazi za kila siku. Mwalim sometime Anakwa na kazi nyingi anawaomba wanafunzi bright wa darasa la juu zaidi kusahihisha Mitihani ya wenzao wa madarasa ya chini. Acha hiyo Shuleni kwetu had matokeo ya muhula wanafunzi bright walikua wakisaidia kazi hizo.
Nb.
Mlalamikaji inaonekana una chuki na mwalimu mkuu wa shule hiyo Lakin pia si kwamba hujui haya hufanyika kwasababu nchi hii ina uhaba mkubwa wa waalim. Kias kwamba sometimes mwalim wa History analazimika kufundisha Mathematics wakati so fani yake.
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu. Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Dk. Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia. Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?
Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli? Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa. Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma. Km mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa ktk kusahihisha na ktk kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
Kunanamna hiyoshule inaandamwa na mwenye/wenye chuki!!
Walimu kwauchache wao na wingi wawatoto wetu hufanya kazi ngumu sana na kwa malipo kiduuuchu mmno.
Lakini hatahivyo taarifa ingefaa ipelekwe kwa wakaguzi/afisa elimu maana ofisi zao zipo.
Kuleta humu nikutaka kuharibia watu na kuchafua taasisi kitaifa!!
Chuki si sawa
 
Mambo ya kawaida hayo katika utendaji wa kazi za kila siku. Mwalim sometime Anakwa na kazi nyingi anawaomba wanafunzi bright wa darasa la juu zaidi kusahihisha Mitihani ya wenzao wa madarasa ya chini. Acha hiyo Shuleni kwetu had matokeo ya muhula wanafunzi bright walikua wakisaidia kazi hizo.
Nb.
Mlalamikaji inaonekana una chuki na mwalimu mkuu wa shule hiyo Lakin pia si kwamba hujui haya hufanyika kwasababu nchi hii ina uhaba mkubwa wa waalim. Kias kwamba sometimes mwalim wa History analazimika kufundisha Mathematics wakati so fani yake.
Mimi ndio nashangaaz wakat mm mwalimu mkuu mara nyingi alikua anatupa kazi kama za kupanga, wa kwanza mpaka mwisho na kuandika list hiyo.

Au anakupa marking scheme unasahihisha fresh tu, ila mpaka akuamini na ajue uwezo wako.

Ni kawaida sana shule za msingi, maana mtu bright wa la sita au saba, mtihani wa darasa la kwanza mpaka nne anaweza sahihisha tu fresh
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
Walimu wachache, serikali haitaki kuajiri! Ila wabunge wapuuzi wale mil 18 Kila mwezi, v8 za kutisha Kila mahali! Ripoti ya cag wizi Kila mahali! Unataka walimu wateseke kwa mishahara ipi? Fisiemu ni laana ya hii nchi! Hao wakaguzi ni washenzi TU!
 
Kunanamna hiyoshule inaandamwa na mwenye/wenye chuki!!
Walimu kwauchache wao na wingi wawatoto wetu hufanya kazi ngumu sana na kwa malipo kiduuuchu mmno.
Lakini hatahivyo taarifa ingefaa ipelekwe kwa wakaguzi/afisa elimu maana ofisi zao zipo.
Kuleta humu nikutaka kuharibia watu na kuchafua taasisi kitaifa!!
Chuki si sawa
Mleta.mada ana chuki na mwalimu mkuu.
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
Mkumbuke pia kushauri serikari iongeze idadi ya walimu kabla hamjamlaumu mwalimu.. shule ina watoto 400 walimu 5, na mkuu akiwemo. Hii ina maana kila mwalimu ana karatasi zaidi ya 700 za kusahihisha, atasahihisha kwa usahihi?
 
Kwa kazi ngumu walizo nazo walimu wetu na mshahara kiduchu usio na posho,, wana haki ya kufanya hivyo.
 
Kwa Tanzania ni kitu cha kawaida sana. Mimi nikiwa nasona shule ya msingi nimesahihisha sana madaftari ya wanafunzi wenzangu.

Kwanza, maswali ya shule ya msingi hua yana majibu ya moja kwa moja, mfano unaulizwa Rais wa Tanzania ni yupi, Makao makuu ya Tanzania ni wapi, makao makuu ya UN ni wapi, Rais wa Kenya ni nani?, Mlima mrefu Afrika ni upi. Majibu yake ni yale yale. Hata mwanafunzi anaweza kusahihisha daftari la mwanafunzi mwenzake kama akipewa majibu na mwalimu.

Pili, kama uko smart, kusahihisha kazi za wanafunzi wenzako sio kazi ngumu.

Tatu, shule nyingi hasa za msingi hazina walimu wa kutosha, hivyo walimu huwapa wanafunzi majibu ya mazoezi aliyotoa darasani wamsaidie kusahihisha kwa sababu maswali mengi ya shule ya msingi yana majibu ya moja kwa moja, sio yale ya ku derive formula hadi upate jibu. Mara nyingi walimu hutumia wanafunzi wazuri kidogo darasani kuwasaidia.

Mimi binafsi nimefanya hiyo kazi Primary na secondary. Sio tatizo kama mwanafunzi anajua.
 
Kuna habari iliandikwa humu JF jana na mdau wa huu mtandao kuhusu wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao. Habari ilihusu shule ya msingi Kimandafu.

Kwanza naipongeza serikali yetu kwani kwa kweli ni sikivu sana, hongera serikali ya Samia Suluhu Hassan. Leo Asubuhi walifika wakaguzi kutoka wilayani, tunapongeza. Tatizo inavyoonesha wale wakaguzi aidha walimpa taarifa mwl. Mkuu kabla kuwa awaweke wanafunzi wake vizuri, maana mapema asubuhi walimu walipita kila darasa kuwaeleza wanafunzi ya kuwa mkiulizwa na wakaguzi kuwa mitihani yenu mnasahihishwagwa na wanafunzi mkatae waambieni ni walimu ndio wanatusahihishia.

Ni kwamba wale wakaguzi hawajui mbinu ya kufanya kazi yao, hawajui intelejensia au walifanya makusudi baada ya kuhongwa. Tukisema wakaguzi ndio wachawi wa elimu yetu tunakosea?

Pili, walivyopelekwa kunywa chai walimu walirudi tena madarasani kuwakanya wanafunzi kuwa mkiombwa makararasi yenu ya test muwaambie kuwa tumeacha nyumbani, wakaguzi hawakuwa na mbinu yoyote kupata ukweli?

Sasa hawa wana-qualify kuitwa wakaguzi? Au ni rushwa? Huu ni udhaifu, uzembe, dalili za rushwa kwa upande wa ukaguzi. Ila kwa ujumla tunaishukuru serikali yetu message sent and successfully delivered, maana wamewaahidi wanafunzi ya kuwa hakuna mwanafunzi atarudia kusahihisha tena mtihani wa mwenzake, haya ni mafanikio makubwa.

Ieleweke kuwa hakuna mtu ana muda wala sababu ya kuzusha uwongo humu mtandaoni, serikali ijue ya kuwa yanayoandikwa humu ni ya kweli kuhusu uhuni na uhalifu unaofanyika kwenye utumishi wa umma. Najua wameandika taarifa ya uwongo kwa mabosi waliowatuma.

Kama mnataka ukweli kusanyeni karatasi za majibu kutoka kwa wanafunzi maana usahihishaji wa mwanafunzi na mwalimu ni tofauti sana, kwanza unakuta wanafunzi wamefanya makosa katika kusahihisha na katika kujumlisha maksi. Tuheshimu majukumu yetu na kupiga vita uvivu na uzembe. Uzembe mkubwa uko kwa walimu wakuu, wamejisahau mno.
Swala la wanafunzi kusahihisha mitihani ya wenzao laweza kuwa geni kwako, binafasi nimelifanya sana miaka hiyo ya 47, lakini nilikuwa nikisahihisha mitihani ya wanafunzi wa madarasa ya nyuma yangu. Enzi hizo darasa lilikuwa na wanafunzi 45. Kwa leo ambapo darasa lina wanafunzi 100+, hata hoja ya uzembe kwa walimu unawaonea. Wa kulaumiwa zaidi ni serikali sikivu, inayosilizia sikio la kulia yanatokea sikio la kushoto.
 
Walimu wamechoka kweli, au ni vilaza wa kutupwa.
Unampaje mwanafunzi asahihishe mtihani!!??

Kongole kwa waliolipigia kelele hili.
Ungeuliza kuna walimu wangapi pia. Serikali inajifanya haijui changamoto za shule zakee.
Fikiria ile video ya kale katoto ka kigoma iliyotrend kakiuza mikate. Kalisema shule kuna walimu watatu, na mmoja ndiye ana juhudi. Sasa mkuu wa mkoa sijuii wa wilaya baada ya watu kuanza kumchangia ela dogo, akasema serikali ndiyo inazipokea kwa ajili ya kumsaidia dogo kwa shule nyingine na mambo mengine. Lilikuwa jambo la kijing.
Serikali kazi yake si kutatua changamoto ya mtu mmoja mmoja, ambacho nilihisi nitakisikia kutoka kwa huyo kiongozi wa serikali ni kuhusu utatuzi wa changamoto ya walimu. Sasa huyo dogo ukimchangia mkamuhamisha shule waliobaki je?
 
Walimu ndio wanaongoza kutuletea maviongozi ya hovyo, ndio wapika "uchafuzi" wote wa Serikali za Mitaa na Uchafuzi Mkuu.
Wacha wapate ladha ya upumbavu wanaoufanya.

Back
Top Bottom