Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,548
awamu hii ni ya kisiraniHahaha unataka kusema awamu hii ni ya kijelous
Ova
awamu hii ni ya kisiraniHahaha unataka kusema awamu hii ni ya kijelous
Ova
conglats thats y nilikua nakwambia china na Algeria sio kama Europe na watu waliosoma Moscow enzi hizo walikua wanaenda kupiga mzigo sweden piaSio kweli, labda huko China. In Moscow now uwe mvivu tu, hata miji midogo watu walio determined wanapiga kazi na kujisomesha bila shida. Binafsi nilivyoona mambo ya mikopo yanazingua I worked for my pocket money, accommodations, tuition fees na nilisoma bila shida.
You just need to be determined...
awamu hii wameamua kunyanyasa wananchi hata ukila wali tu wanamind
Kuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??Sio kwa awamu hii.
It seems awamu hii wanakusanya pesa za kulipa wateuliwa.
Wajipange tu warudi.
Tena jamaa alipata taarifa kama hizi ndio roho yake inasuuzika inakuwa nyeupew anafurahi sana anashika shika miwani yake tu.Kuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??
Nasikia nchi kama Algeria ukipewa kibali cha kusoma kimeandikwa hauruhusiwi kufanya kazi yoyote mpaka ubadilishiwe kibaliKuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??
Nimecheka,ckutegemea jibu lko.I admire uawamu hii wameamua kunyanyasa wananchi hata ukila wali tu wanamind
Thank u me tooNimecheka,ckutegemea jibu lko.I admire u![]()