born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Mimi simuhamini sana Gentamycine kama kweli anatokea mkoa wa Mara au ni Mkurya kabisa.
Juzi kati hapa Genta alikuja hapa na kutoa tamko huku akijitambulisha kama "Chura Churani" kimbe yeye kila mtu humu JF anajua kuwa jamaa ni "Mnyama Mnyamani"
Kuwa makini mkuu,mwisho kabisa watu watashindwa kukuamini pindi ukija na habari nyeti.