OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,603
- 105,723
My Take
Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
Huenda issue isiwe bugdet mkuu ila mafundi wenyewe
Bro huwezi kula hela bila kupitia kwa muhasibuKumbe uhasibu unalipa aisee.
Huenda ni ajali tu kutokana na mabadili haya ya haki ya hewa.
Lazima tu kuna tatizo kubwa kwenye ujenzi huo, haiwezekani ghorofa ambalo bado lipo kwenye ujenzi lianguke kizembe namna hii. Taratibu za kitaalamu kuhusu Ujenzi hazikufuatwa na wala misingi ya kudhibiti viwango vya ubora haikuzingatiwa
"Mafundi watatu,mtu mmoja na wapare wawili"Mkuu hapa 🤔Ghorofa la kwanza kuanguka nchini likiwa bado linajengwa ilitokea mwaka 1987 pale mtaa wa Msimbazi maeneo ya Kariakoo ambalo liliua mafundi watatu wa ujenzi huo akiwamo mtu mmoja na wapare wawili. Baadaye iligundulika kuwa injinia aliyekuwa anasimamia ujenzi hakuwa na sifa za structural engineering kabisa; alikuwa mpare mmoja fundi mwashi wa siku nyingi tu lakini hakuwa injinia.