Wana Kagera tuna letu jambo 2020

Utajaza mwenye
Unapoongelea mambo ya wingi una maanisha kuwa umekubaliana na mkoa mzima sasa wewe familia yako kukuahidi kuwa itafanya kitu 2020 ndo unakuja mbio JF ,mtakufa na masifa yenu hayo.

TAHADHALI: USIROPOKE.
 
Mimi napenda kusema kweli tu. Pamoja na hasira kali sana katika awamu hii kwa mambo mbali mbali lakini bila ya kuwepo Katiba mpya ile ya rasimu ya Warioba na pia Tume huru ya uchaguzi basi tusitegemee jipya lolote zaidi ya matokeo yaliyojaa wizi na udanganyifu mkubwa. Msishangae pia kuona UKAWA wanabaki na wabunge ambao hawafiki hata 20 na hivyo kukosa hadhi ya kuwa official opposition na sijui kama ukiwa na Wabunge wachache hivi unaruhusiwa hata kupata ruzuku.

Sisi wana wa Kagera tuna letu jambo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kama walivyofanya wenzetu wa mtwara,ccm watajuta kutufahamu.
 
Kama kuna watu nawadharau ni hao hao wanakagera wako. Mufano muzuri ni huu uchaguzi wa juzi. Nilidhani kwa yale maneno ccm hata kura ya huyo mgeombeya angeli wanyima ili tumufundishe lugha nzuri. Lakini Muleba mukamupa kula zoote. Kha! Siwaamini tena. Na huko sijiii nakaa darisalama
Nyumbani ni Nyumbani mzee
 
Unapoongelea mambo ya wingi una maanisha kuwa umekubaliana na mkoa mzima sasa wewe familia yako kukuahidi kuwa itafanya kitu 2020 ndo unakuja mbio JF ,mtakufa na masifa yenu hayo.

TAHADHALI: USIROPOKE.
Tuna jambo letu
 
Mimi napenda kusema kweli tu. Pamoja na hasira kali sana katika awamu hii kwa mambo mbali mbali lakini bila ya kuwepo Katiba mpya ile ya rasimu ya Warioba na pia Tume huru ya uchaguzi basi tusitegemee jipya lolote zaidi ya matokeo yaliyojaa wizi na udanganyifu mkubwa. Msishangae pia kuona UKAWA wanabaki na wabunge ambao hawafiki hata 20 na hivyo kukosa hadhi ya kuwa official opposition na sijui kama ukiwa na Wabunge wachache hivi unaruhusiwa hata kupata ruzuku.
Ruzuku ni haki kikatiba mbona mzee mapesa alikuwa anaikomba?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani kuna siku nilikuwa ofisini kwangu kuna mdada kavaa kijani ya ssm nikamwona anakuja kwangu kwanza nikaanza. Kuhis kichefchef bahati nzuri akawa na lugha chafu ati kisa chama dola nilimharishia hakika alitoka ananuka nikamwambia tena ukome hii sio ofisi ya chama huna adabu akaanza ooh umeajiriwa na chama ntakuvurugia nikamwambia hata ukiloga huniwezi nilisoma ndo maana nipo hapa nawe kakate viuno huko nikamtukana kidhungu nikamwona anarembua nikamwambia kawarembulie ofisini kwenu sio hapa mbumbumbu mkubwa we! Akaondoka moyo wangu ukawa mweupeeee nyambaf
 
Mtwara walikuwa na jambo lao lakini wakaenda shamba bila majembe wakalimia meno acha maneno mengi wanaotuhujumu ni hao tunaopigia kura sio wale tusiowapigia shuka kitandani ili utandike kitanda shamba halilimwi kwa kidole viongozi wetu washawahi kuleta ripoti ya uchaguzi ili kujua mapungufu yetu ni yapi? Umefungwa mchezo wa kwanza na unataka kwenda kwenye mchezo mwingine bila kocha wako kukuambia makosa uliyofanya hadi ukapoteza mchezo wa kwanza fikiri kwanza vita ni akili na uwezo.
 
Sisi wana wa Kagera tuna letu jambo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kama walivyofanya wenzetu wa mtwara,ccm watajuta kutufahamu.
Mkuu sio wana Kagera wote wenye kinyongo. Mimi mwanakagera lakini siamini katika siasa za visasi, hazijawahi popote duniani kuleta faida zaidi ya vidonda vya tumbo.
 
Back
Top Bottom