Wana Ilala tumepeta msiba mzito wa kuondokewa mama yetu kipenzi Siti Mwasa

Mkuu Pilau la nguvu
756ae0c32ca8d63994c2bddf5ad82357.jpg
e8446634cbf28969c9e671ac432e58aa.jpg
19003e0b6938d4f069887fce98ca353a.jpg
...hahahahaha.,dah nimelikosa kizembe;
..watoto wa Ilala tena kwa misotojo!!..
 
...hahahahaha.,dah nimelikosa kizembe;
..watoto wa Ilala tena kwa misotojo!!..
Hapa Pilau haikuwa issue kwa watoto wa ilala, tulikuwa na watoto wa Jiji zima la Dar-salaam walifurika hapa,sijawahi kuona umati mkubwa katika mazishi hapa ilala kama wa Marehemu Sittu Mwasa.
Wana ilala Pilau haikuwa issue tunamajonzi ya kuondokewa na ndugu yetu.
 
Mama yetu ilala ni mwana CCM na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ilala kasuru kifupi naweza kusema ni mwana Dar es Salaam

Inna LILLAh wa inna Ilaihi Raajiuun, na hapo alivaa sare ya MAulid ya Almadrasatul Abbasiyya ya Maalim Ramadhan Abbas Mtaa wa Mkunguni! Pole kwa wafiwa.
 
Bado wana ilala tunaendelea na duu'a ya kumuombe Marehemu na siku ya pili baada ya mazishi tuliendelea na duu'a nyumbani kwa Marehemu
46a321a56ffe2e98eadfb156e31f907a.jpg
d88abc48fdffdd905fcae1fccd105acb.jpg

In Shaa Allah tunaendelea na Duu'a leo tarehe 10/3/2017 baada ya swala ya alasir hapo hapo nyumbani kwa Marehemu
 
Back
Top Bottom