Habari za leo!
Azania sekondari ni moja ya shule kongwe nchini ambayo huko nyuma ilikuwa na historia nzuri ya kufaulisha na kutoa vijana wazuri kichwani. Kama uliwahi kupitia pale tafadhali jitokeze hapa na utukumbushe historia ya wakati wenu pale Azania.
Ahsanteni sana